Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,768
21,253
img_20230502_165128-jpg.2607385

Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.

Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa Tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.

Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.

IMG_20230502_162749.jpg

☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.

Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.

IMG_20230502_162804.jpg

☝🏾Tiketi zao.

Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.

Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
 
img_20230502_165128-jpg.2607385

Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May

Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Mkuu gari kubwa namna hiyo,Watu tumewahi enda na GX 90 wakati huo miaka ya 1998 ,Hii wakati huo ilikuwa baloon tena ni 4 cylinders na cc ilikuwa 1680
.
Tulitoka Arusha to Durban south Africa ,Tulienda na kurudi nayo na mpaka leo hiyo baloon inadunda
basi lolote linaenda hata hizo yutong au zhantong,Kikubwa ni service tu basi

Hiyo barabarani unapishana na wazungu wana pikipiki machine za kufa mtu na wana overtake kama upepo

Enzi hizo unakutana na mzungu ana mtambo wa pikipiki anakuambia ametokea Cairo anaelekea south,Ukiangalia pikipiki yenyewe jinsi ilivyoshona kwa miili ya watanzania unaweza ukashindwa kuweka mguu mchini wakati wa kushuka
 
Kwann asipite route ya Lusaka Zambia, then Harare Zimbabwe then Joburg chapu tu. Hiyo route sijaielewa utapita vp Zambia alaf uende Mozambique then Zimbabwe?? Then Botswana?? Nadhan mleta uzi umefeli hakuna hiyo route. Maana Mozambique to joburg ni karibu sana na harare to jorbug ni karibu pia botswana ni karibu pia na SA . So ninadhani hilo kampuni litakuwa na route tatu tofauti
 
Kwann asipite route ya lusaka zambia, then harare zimbabwe then joburg chapu tu. Hiyo route sijaielewa utapita vp zambia alaf uende mozambique then zimbabwe?? Then botswana?? Nadhan mleta uzi umefeli hakuna hiyo route. Maana Mozambique to joburg ni karibu sana na harare to jorbug ni karibu pia botswana ni karibu pia na SA . So ninadhani hilo kampuni litakuwa na route tatu tofauti
Chief sisi wengine huwa hatuokotezi story, naifuatilia sehemu zaidi ya moja.

Hebu kwa tahadhima pale chini ya uzi kuna link fungua uisome kupunguza mihemko.
 
Kwann asipite route ya lusaka zambia, then harare zimbabwe then joburg chapu tu. Hiyo route sijaielewa utapita vp zambia alaf uende mozambique then zimbabwe?? Then botswana?? Nadhan mleta uzi umefeli hakuna hiyo route. Maana Mozambique to joburg ni karibu sana na harare to jorbug ni karibu pia botswana ni karibu pia na SA . So ninadhani hilo kampuni litakuwa na route tatu tofauti
Nunua lako ufanye hiyo njia

USSR
 
huu ni uzushi wa kipuuzi, mleta uzi hata hajui ramani ya Africa. Watu wengine ni km wanaota. unatokaje Botswana halafu uende Msumbiji? Huyu shule alienda kuchungulia siyo kusoma
 
Back
Top Bottom