Mboya Allie
Member
- Mar 13, 2012
- 92
- 63
Gari ambayo utajuta kuzariwa ukipanda ni Mohamed Trans, nilipanda msavu nipo nyuma nafka dom namkaribia dereva, viti ni movable ikiingia kwenye tuta lazma uende kwenye roof kwanza ukirud upo chini au kiti kishakaliwa. Tiket zao hawaandikag namb ya seat mana wanajua lazma uhame au usimame. Ile gari unaweza utoke msamvu mpk dom hujala hata punje ya karanga mana kuutafta mdomo ulipo ni timing ukifanikiwa hapo kaz ipo kwenye kumeza labda unyanyue kichwa juu kama kuku la sivyo itaishia kwenye koo haraf ipande, sio kwa kunesa kule.
Dah we jamaa umeua