Ni basi lipi toka Mwanza kwenda Dar es Salaam hufika Mbagala?

mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
2,667
3,455
Hello wakuu,

Nahitaji msaada, niko Kanda ya ziwa huku wiki ijayo natoka huku kwenda Dar lengo nifike huko kusini na kama mnavyojua Gari toka kanda ya ziwa hufika Dar usiku sana namimi nataka kesho yake nifike Kusini.

Je, kuna basi hufika huko Mbagala moja kwa moja likishashusha Mbezi Luis, au nitumie njia ipi rahisi zaidi kufika huko Mkoa wa Mtwara Wilaya ya Newala?
 
Hello wakuu
nahitaji msaada niko Kanda ya ziwa huku wiki ijayo natoka huku kwenda Dar lengo nifike huko kusini na kama mnavyojua Gari toka kanda ya ziwa hufika Dar usiku sana namimi nataka kesho yake nifike Kusini je kuna basi hufika huko Mbagala moja kwa moja likishashusha Mbezi Luis, au nitumie njia ipi Rahisi zaidi kufika huko Mkoa wa Mtwara Wilaya ya Newala!?
Labda upande basi la Mwanza-Mtwara kama lipo.
 
Shekilango utafika usiku saa sita au tano, pitiliza Mbagala utafika saa saba.

Hapo hakuna haja ya kulala gest, ingia bar agiza maji ya buku unatoboa nayo hadi asubuhi na ndio utapigia mswaki saa kumi na moja wakati unatafuta BUTI LA ZUNGU.

Ushauri huu unamfaa msela tu.
 
Katarama umeme mwingiii ipo Dar saa mbili au tatu hiyo mida mingine ni makorokoro
 
Shekilango utafika usiku saa sita au tano, pitiliza Mbagala utafika saa saba.

Hapo hakuna haja ya kulala gest, ingia bar agiza maji ya buku unatoboa nayo hadi asubuhi na ndio utapigia mswaki saa kumi na moja wakati unatafuta BUTI LA ZUNGU.

Ushauri huu unamfaa msela tu.
huyu mchina kamaliza kila kitu sina cha kujazia
 
Hello wakuu,

Nahitaji msaada, niko Kanda ya ziwa huku wiki ijayo natoka huku kwenda Dar lengo nifike huko kusini na kama mnavyojua Gari toka kanda ya ziwa hufika Dar usiku sana namimi nataka kesho yake nifike Kusini.

Je, kuna basi hufika huko Mbagala moja kwa moja likishashusha Mbezi Luis, au nitumie njia ipi rahisi zaidi kufika huko Mkoa wa Mtwara Wilaya ya Newala?
Kuna allys inaenda kigamboni... sijajua kama Kuna basi lingine la kufika Hadi mbagala
 
Shekilango utafika usiku saa sita au tano, pitiliza Mbagala utafika saa saba.

Hapo hakuna haja ya kulala gest, ingia bar agiza maji ya buku unatoboa nayo hadi asubuhi na ndio utapigia mswaki saa kumi na moja wakati unatafuta BUTI LA ZUNGU.

Ushauri huu unamfaa msela tu.
Na bar husika ni masakuu mbagala
 
Back
Top Bottom