Basi gani zikitoka Mwanza zinafika Dar bila kulala Morogoro?

Magari ya mwanza dar asilimia kubwa ni mabovu ambayo yalishafanya kazi barabara za dar arusha na dar mbeya yakaonekana vimeo ndo yanaletwa mwanza. Mm naishi mwanza ila kila nikipanda basi siku hizi lazima mizinguo kibao njiani
 
Safari ya mwnz-Dar it's all about timing wakuu, ipo hivi kama dreva hataki kulala morogoro basi inabdi afanye mpango wa kufika dodoma kabla ya saa moja jioni. Akifika dom kuanzia saa 11 -12:30 jioni basi dar saa 5:30 mpaka 6 usiku anatoboa

Sababu nikuwa kuanzia saa 11 za jioni kutoka dodoma kwenda moro, dar traffic wanakuwa wameisha anza kutoka barabarani
 
Safar ya Dar-Mwanza ni vigumu kupeleka luxury ni safar ndefu sana....wengi huwa wanabadili engine na kuwka za malori ya scania...hzo engine za luxury miezi sita tu unatupa kule endapo utapeleka njia ya Mwanza to Dar
 
Safari ya mwnz-Dar it's all about timing wakuu, ipo hivi kama dreva hataki kulala morogoro basi inabdi afanye mpango wa kufika dodoma kabla ya saa moja jioni. Akifika dom kuanzia saa 11 -12:30 jioni basi dar saa 5:30 mpaka 6 usiku anatoboa

Sababu nikuwa kuanzia saa 11 za jioni kutoka dodoma kwenda moro, dar traffic wanakuwa wameisha anza kutoka barabarani
Kiongozi umenena kweli
 
Na hata ajari hawapati sana ukilinganisha na spidi zao. Wako makini kusema kweli ijapo ni roho mkononi kweli kweli
57d72301372f89a79621c55a1ffaf60d.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom