Basi gani zikitoka Mwanza zinafika Dar bila kulala Morogoro?

Gari ambayo utajuta kuzariwa ukipanda ni Mohamed Trans, nilipanda msavu nipo nyuma nafka dom namkaribia dereva, viti ni movable ikiingia kwenye tuta lazma uende kwenye roof kwanza ukirud upo chini au kiti kishakaliwa. Tiket zao hawaandikag namb ya seat mana wanajua lazma uhame au usimame. Ile gari unaweza utoke msamvu mpk dom hujala hata punje ya karanga mana kuutafta mdomo ulipo ni timing ukifanikiwa hapo kaz ipo kwenye kumeza labda unyanyue kichwa juu kama kuku la sivyo itaishia kwenye koo haraf ipande, sio kwa kunesa kule.

Dah we jamaa umeua
 
Dah
 
Mavu zangu weeee
 
Nakushauri panda bus inatojali abiria afikishwe salama,sio usafirishwe kama kitu kisicho na thamani.asilimia 75 ya ajali ipo mikononi mwa dereva.
 
Gari ambayo utajuta kuzariwa ukipanda ni Mohamed Trans, nilipanda msavu nipo nyuma nafka dom namkaribia dereva, viti ni movable ikiingia kwenye tuta lazma uende kwenye roof kwanza ukirud upo chini au kiti kishakaliwa. Tiket zao hawaandikag namb ya seat mana wanajua lazma uhame au usimame. Ile gari unaweza utoke msamvu mpk dom hujala hata punje ya karanga mana kuutafta mdomo ulipo ni timing ukifanikiwa hapo kaz ipo kwenye kumeza labda unyanyue kichwa juu kama kuku la sivyo itaishia kwenye koo haraf ipande, sio kwa kunesa kule.
Umenivunja bandama
 
Kweli kabisa unaweza panda dar mwanza elf 20
 
Nimecheka sana.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom