bingo7
Member
- Nov 8, 2016
- 81
- 22
Akaja luck star ila siku choka mbayaNakumbuka zaman na Allys saa mbili nanusu had tatu kasoro upo ubungo kutoka mwanza
Akaja luck star ila siku choka mbayaNakumbuka zaman na Allys saa mbili nanusu had tatu kasoro upo ubungo kutoka mwanza
Ni hatar mkuu full kipupwe hata mwl jk nyerere haioni ndanUlionaje muonekano wa ofisi zao pale Shekilango? hatar
Sh ngapi fast jetNilishafanya hesabu, nauli+ pesa ya kula njiani+ nauli ya kukodi Tax usiku wa manane inatosha kukata tiketi ya Fastjet.
Dar Mwanza sipandi basi hata kwa dawa.
Kwahiyo hata kisesa na zuberi yalishafanya safari dsm to arusha?Magari ya mwanza dar asilimia kubwa ni mabovu ambayo yalishafanya kazi barabara za dar arusha na dar mbeya yakaonekana vimeo ndo yanaletwa mwanza. Mm naishi mwanza ila kila nikipanda basi siku hizi lazima mizinguo kibao njiani
Hahahahah...umeua! wee jamaa!Gari ambayo utajuta kuzariwa ukipanda ni Mohamed Trans, nilipanda msavu nipo nyuma nafka dom namkaribia dereva, viti ni movable ikiingia kwenye tuta lazma uende kwenye roof kwanza ukirud upo chini au kiti kishakaliwa. Tiket zao hawaandikag namb ya seat mana wanajua lazma uhame au usimame. Ile gari unaweza utoke msamvu mpk dom hujala hata punje ya karanga mana kuutafta mdomo ulipo ni timing ukifanikiwa hapo kaz ipo kwenye kumeza labda unyanyue kichwa juu kama kuku la sivyo itaishia kwenye koo haraf ipande, sio kwa kunesa kule.
Acheni kupotosha watu kwa sasa hakuna Bus linaloondoka Mwanza nakufika Dar es salaam siku moja ila Kisbo ni Bus zuri
Hakuna kampuni ambayo haijawahi kupata ajari. Hoja hapa nilisema kwa kuangalia spidi zao na idadi ya ajari zao kiukweli wako reasonable kwa maana ilitegemewa kama si kila safari basi ndani ya wiki wapate ajari ila wanasavaivu.
Hapa ndo umenena, na hawaingii Stend ndogo ndogo za wilayani, mfano Wakitoka MWZ hawaingii Misungwi ni hadi SHY, Nzega ni Lazima coz ndo njia wakitoka hapo Igunga hawaingii ni hadi Singida pale kwenye mgahawa, kwa kifupi wanajali sana muda, halafu Hizi Gari zote nimezipanda Kisbo Kahm_Dar, Tabora_Dar, MWZ_Dar, niliwahi kuongea na konda mmoja Kipindi Niko kahama Coz wao kwa sasa licha ya kutokuendesha speed zaidi ya 80, wanafika Kahama saa5 kamili usiku, somtym 4:45, DarLux na RedBelt wanafika saa6:30 kahama, na Mabasi mengine ya Bukoba yanalala Nzega, Akasema kampuni huwa imetenga kila safari moja Sh Laki 1 na NUSU kwa kila gari kwa ajili ya Torch kwa hiyo hata siku1 hawapigwi torch. Now ndo wababe wa njia za Dar_Tbr, Dar_Khm na Dar_MWZEngine ni hizo hizo tu, scania 94 na 95, ila Kisbo wanawazidi wenzao kwenye time-keeping, hilo tu.
we unasimuliwa hujasafiri kati ya MWZ_Dar una muda nadhani, Kisbo inatoboa na Kibo pia, labda kama una ubishi wa ukooAcheni kupotosha watu kwa sasa hakuna Bus linaloondoka Mwanza nakufika Dar es salaam siku moja ila Kisbo ni Bus zuri
Seriously, u made my day.Gari ambayo utajuta kuzariwa ukipanda ni Mohamed Trans, nilipanda msavu nipo nyuma nafka dom namkaribia dereva, viti ni movable ikiingia kwenye tuta lazma uende kwenye roof kwanza ukirud upo chini au kiti kishakaliwa. Tiket zao hawaandikag namb ya seat mana wanajua lazma uhame au usimame. Ile gari unaweza utoke msamvu mpk dom hujala hata punje ya karanga mana kuutafta mdomo ulipo ni timing ukifanikiwa hapo kaz ipo kwenye kumeza labda unyanyue kichwa juu kama kuku la sivyo itaishia kwenye koo haraf ipande, sio kwa kunesa kule.
Ahaaa mkuu jamaa kauliza gari inayotoboa.Dar lux hawezi kutoboa kwa kisbo mzeeKisbo chamtoto kwa dar lux narudia tena kisbo cha mtoto kwa dar lux kwa kila kitu