Basi gani zikitoka Mwanza zinafika Dar bila kulala Morogoro?

Kwa akili za namna hii ajali ni ngumu kudhibiti.

Wa kwanza kuilaumu Serikali, lakini mnasahau kuwa uchovu ukidhibitiwa umakini unakuwa Juu.

Kitendo cha kulaza magari njiani, ndio kilichosababisha ajali zipungue.

Kisbo ndio halilali njiani maana linamilikiwa na polisia, lakini sio bus ninaloweza kurecomend ulipande.

Ni hatare sana
 
103c32babf77eaf5a5e4d95261e977dd.jpg

Dar Lux Co. Ltd
Dar Pwani Moro Dodoma Singida Shinyanga Mwanza Nyegezi(1152 km)
Higer
Cummins L325
T 912 DLF
Fare 50,000/= Full luxury,toilet,one by two seats
Ya kweli hii mkuu?naingia mwanza january
 
Abood ya Dar- Mwanza ni la kawaida tu
mwendo wake hauzidi 80KPH
Magari yake yana Speed Gavana..
Magari yanayovuta mwendo ndo..
KISBO
KISESA
ZUBERI
na kuna basi linaitwa MJ
Bodi limechokachoka lakini linapepea hatari..akitoka harudi kushoto..
Zuberi na kisesa hapana haya magari napanda sana tena sana maana sfari za mwanza nafanya nyingi sana mwendo wao ni wa kawaida kabisa ila ndio hulali moro unaingia dar 7 usiku
 
Hapa ndo umenena, na hawaingii Stend ndogo ndogo za wilayani, mfano Wakitoka MWZ hawaingii Misungwi ni hadi SHY, Nzega ni Lazima coz ndo njia wakitoka hapo Igunga hawaingii ni hadi Singida pale kwenye mgahawa, kwa kifupi wanajali sana muda, halafu Hizi Gari zote nimezipanda Kisbo Kahm_Dar, Tabora_Dar, MWZ_Dar, niliwahi kuongea na konda mmoja Kipindi Niko kahama Coz wao kwa sasa licha ya kutokuendesha speed zaidi ya 80, wanafika Kahama saa5 kamili usiku, somtym 4:45, DarLux na RedBelt wanafika saa6:30 kahama, na Mabasi mengine ya Bukoba yanalala Nzega, Akasema kampuni huwa imetenga kila safari moja Sh Laki 1 na NUSU kwa kila gari kwa ajili ya Torch kwa hiyo hata siku1 hawapigwi torch. Now ndo wababe wa njia za Dar_Tbr, Dar_Khm na Dar_MWZ
Mkuu unahitajika takukuru ukatoe Maelezo!
 
Pamoja namvua yoote iliyonyesha kuanzia Singida..
Lakini jamaa wamefanikiwa kutoboa..
Kutoboa kwao ni kama Pie (22/7)...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom