Bashungwa hutoshi!

masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
15,803
2,000
Mimi si mpenzi kinda kinda wa Yanga lakini huwa naifuatilia sana.

Leo ilikuwa tuwafunge Simba ila pambano likaahirishwa kutokana na kujitokeza kwa shughuli nyingine ghafla ya kuzindua kitabu cha Mzee Ruksa.

Tatizo langu liko hapo!
Taratibu za kuahirisha pambano inabidi taarifa itoke masaa 24 kabla.
Sasa haya tunayoyaona niuswahili uliokithiri.
Hatuwezi kwenda namna hii.

Taarifa ya shughuli ya Mzee Ruksa haikujulikana mapema?

Usumbufu wa taratibu za maandalizi, wapenzi na mashabiki kufika na kuingia uwanjani mapema kuzuia kukanyagana milangoni, matayarisho yawalinzi wetu, wapenzi wameingia jijini toka mikoani, gharama zote hizi nani analipa?

Wizara husika na michezo imeleta furugu kwa wapenzi wa mpira YANGA na SIMBA.

Waziri na Wizara ikicheza na miamba hii ya soka nchini , hautaeleweka kamwe.

Na hapo ndio nasema Bashungwa anatakiwa kuwajibika, hatoshi.

1620491503654.png
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,253
2,000
Mimi si mpenzi kinda kinda wa Yanga lakini huwa naifuatilia sana.

Leo ilikuwa tuwafunge Simba ila pampano likaahirishwa kutokana na kujitokeza kwa shughuli nyingine ghafla ya kuzindua kitabu cha Mzaa Ruksa.

Tatizo langu liko hapo!
Taratibu za kuahirisha pambano inabidi taarifa itoke masaa 24 kabla.
Sasa haya tunayoyaona niuswahili uliokithiri.
Hatuwezi kwenda namna hii.

Taarifa ya shughuli ha Mzee Ruksa haikujulikana mapema?

Usumbufu wa taratibu za maandalizi, wapenzi na mashabiki kufika na kuingia uwanjani mapema kuzuia kukanyagana milangoni, matayarisho yawalinzi wetu, wapenzi wameingia jijini toka mikoani, gharama zote hizi nani analipa?

Wizara husika na michezo imeleta furugu kwa wapenzi wa mpira YANGA na SIMBA.

Waziri na Wizara ikicheza na miamba hii ya soka nchini , hautaeleweka kamwe.

Na hapo ndio nasema Bashungwa kwa kuwajibika, hatoshi.
Wewe sio mpenzi wa yanga ila leo mlikuwa muwafunge Simba kweli Eymael hakukosea kuwaita uneducated, manyani mnabweka kama mbwa hamjui chochote kuhusu mpira.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
17,425

tatizo kulazimisha Legasi. Siku hizi kila mstaafu ambaye anaona kama legasi yake haizungumziwi basi anaibuka na kuandika andika mavitabu yanayoitwa Maisha yake binafsi
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
9,744
2,000
Wewe sio mpenzi wa yanga ila leo mlikuwa muwafunge Simba kweli Eymael hakukosea kuwaita uneducated, manyani mnabweka kama mbwa hamjui chochote kuhusu mpira.
We ita manyani, Mbwa, haikusaidii.

Ukitaka kuharibikiwa kisiasa chezea pambano la Yanga na Simba.

Hapo na utatambua kuwa kuitumbua si andazi kama hujui.
 
Ntozi

Member
Feb 1, 2021
38
125
Mimi si mpenzi kinda kinda wa Yanga lakini huwa naifuatilia sana.

Leo ilikuwa tuwafunge Simba ila pampano likaahirishwa kutokana na kujitokeza kwa shughuli nyingine ghafla ya kuzindua kitabu cha Mzaa Ruksa.

Tatizo langu liko hapo!
Taratibu za kuahirisha pambano inabidi taarifa itoke masaa 24 kabla.
Sasa haya tunayoyaona niuswahili uliokithiri.
Hatuwezi kwenda namna hii.

Taarifa ya shughuli ha Mzee Ruksa haikujulikana mapema?

Usumbufu wa taratibu za maandalizi, wapenzi na mashabiki kufika na kuingia uwanjani mapema kuzuia kukanyagana milangoni, matayarisho yawalinzi wetu, wapenzi wameingia jijini toka mikoani, gharama zote hizi nani analipa?

Wizara husika na michezo imeleta furugu kwa wapenzi wa mpira YANGA na SIMBA.

Waziri na Wizara ikicheza na miamba hii ya soka nchini , hautaeleweka kamwe.

Na hapo ndio nasema Bashungwa kwa kuwajibika, hatoshi.
Naomba Sana Serikali yangu tukufu iachane na kucheza na hisia za watu.kwa mfano ingetokea vurugu pale Mkapa,kutokana na kutokubaliana na maamuzi ya kuahirisha mechi,hivi hali ingekuwaje?pamoja na upole na amani ya wa Tanzania,lakini tukumbuke kila kitu kina life span.
 
masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
15,803
2,000
Naomba Sana Serikali yangu tukufu iachane na kucheza na hisia za watu.kwa mfano ingetokea vurugu pale Mkapa,kutokana na kutokubaliana na maamuzi ya kuahirisha mechi,hivi hali ingekuwaje?pamoja na upole na amani ya wa Tanzania,lakini tukumbuke kila kitu kina life span.
Watu hawayaoni mambo kwa mapana yake.
Hatujasahau watu waliokanyagana pale UW Tiaifa majuzi tu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom