Bashe akijiandaa kuondoka baada ya kuapishwa

Bashe akijiandaa kuondoka baada ya kuapishwa

Hilo gari la Mhe. NWK likiwa jipya (Odo=0) linagharimu kiasi gani (TZS-CIF Daresalaam):
(a) Bila kodi (kwa wasiolipa kodi mf.Serikali,nk) na ;
(b)Likilipiwa kodi (Kwa wanaolipa kodi)

Natanguliza shukrani
$75,000
 
Haaahaaaa...kajiachia kitambi kikubwa kama nyumba. Lazima ni mawazo na chips mayai

Kama alimsikiliza vyema Rais leo aelewe tu kuwa kazi aliyopewa imekaa kimtego. Michango yake bungeni ya kukosoa ndio imemfanya mkuu kumpatia hiyo kazi, na hivyo atttention itakuwa kubwa sana kwake
 
Ndani ya ccm ukitaka uishi kwa uhakika basi wewe kuwa mtu wa kusifia

Bashe sio mnyamwezi lakini kazaliwa huko kwa akina Kigwa na mengi kayarithi utafikiri ni mnyamwezi, maana yangu alichokifanya Bashe ni copy and paste kutoka kwa Kigwa na kweli kafanikiwa.. ninavyomjua lazima kesho hii gari kwanza ionekane Nzega pale kijiweni stendi kwa wale vijana washikaji wake ili sasa waongee vizuri na kuwaringishia team Kigwa..baada ya hapo piga ua garagaza lazima jioni yake ikapaki pale makao makuu ya siasa za Nzega yaani "BBC" ili tu team Kigwa waone kitu kinachofanana na kile cha Bosi wao (Kahawa kama kawaida) , pamoja na yote hayo kuwa huenda wakuu wanamlia timing ili baadae wapate sababu za kumtema kutoka kwenye ulingo lakini yeye tayari keshatoa mkosi kwani tayari kauonja uwaziri kama hasimu wake Kigwa na kazi 2020 inabaki palepale.
 
Kama alimsikiliza vyema Rais leo aelewe tu kuwa kazi aliyopewa imekaa kimtego. Michango yake bungeni ya kukosoa ndio imemfanya mkuu kumpatia hiyo kazi, na hivyo atttention itakuwa kubwa sana kwake
Itabidi apambane kweli kweli
 
Nakubaliana na wazo lako na kwa hili Kagame katuzidi pamoja na mapungufu yake maana yeye alisha piga marufuku magari ya kifahari kama haya
Mmawia umekula lunch ? Naona leo umeshika bango kweli , msalimie dj mwambie mbona kimya sana.
 
Hilo gari la Mhe. NWK likiwa jipya (Odo=0) linagharimu kiasi gani (TZS-CIF Daresalaam):
(a) Bila kodi (kwa wasiolipa kodi mf.Serikali,nk) na ;
(b)Likilipiwa kodi (Kwa wanaolipa kodi)

Natanguliza shukrani
Million 290 kwa anayelipa kodi
 
Malipo ya kujiunga na praise team ni kutembelea gari aina ya Toyota Landcruiser V8. Karibuni.
 
Nasikia ukitumbuliwa linarudi na dereva tu. Hata kama ulikuwa ziara huko utarudi na asi li v8 hupandi tena.
Tuache utani power is sweet aisee.
 
Jamani madaraka yanapendeza sana ndiyo maana kuna watu siku hizi wameamua kujiondoa utu wao na kuanza kulazimisha teuzi.

Huyo chini ni naibu waziri wa kilimo mh Bashe akiingia kwenye gari lake la ofisi yake mpya.View attachment 1159460
Ulitakaa aingie guest
Hukondikooo MUNGU KAMPANGIA
MUNGU SIO ATHUMANI MLITAKA KUMWONDOLEA URAIA LEO HII MUNGU AMEMWINUA KUANZIA MWANZO MWISHOO
 
Back
Top Bottom