Bashe akijiandaa kuondoka baada ya kuapishwa

Nawe mwambie mpiga tumba kuwa wakulima wa korosho na kahawa na pamba wanakufa na njaa
Kama alivyosema mpiga zumari zitto kua january alitegwa , kumbe na nyie mnamtega magufuli ashindwe kny swala la koroshow, mitego yote imejulikana
 
Jamani madaraka yanapendeza sana ndiyo maana kuna watu siku hizi wameamua kujiondoa utu wao na
Ni wivu tu unakusumbua
Kujipendekeza kote kwa Mbowe akuteue uwe katibu myeka,umeishia kupewa utarishi tu,ile nafasi mpaka uwe unasafiri na kimbinyiko trans.ndio ungeipata
 
Pole sana dogo nakuita dogo makusudi.
Ni wivu tu unakusumbua
Kujipendekeza kote kwa Mbowe akuteue uwe katibu myeka,umeishia kupewa utarishi tu,ile nafasi mpaka uwe unasafiri na kimbinyiko trans.ndio ungeipata
 
Hakuna cha mtego hapo maana korosho bado zipo maghalani ambazo ilibidi kwa sasa ziwe zipo huko kwa wanao jua matumizi yake
Kama alivyosema mpiga zumari zitto kua january alitegwa , kumbe na nyie mnamtega magufuli ashindwe kny swala la koroshow, mitego yote imejulikana
 
Hakuna cha mtego hapo maana korosho bado zipo maghalani ambazo ilibidi kwa sasa ziwe zipo huko kwa wanao jua matumizi yake
Muulize zitto ndio anajua mambo ya itegaji , kwa maelezo yake yamedhihirisha wanamtega magufuli kumkwamisha , na yeye ameshawajua.
 
Wacha umbea wewe kama vipi nenda kalime tu wachana na habari za kutegemea teuzi
 
😁😁, kunya anakunya kuku akinya bata kahara? Kutegwa ategwe january ?, wengine hawategwi? Mmeshajulikana na siasa zenu za kutegana , unatamani sana teuzi , inaonekana hata dj hajakuteua, polèee.
 
Karaghabhao nghoosha
[emoji16][emoji16], kunya anakunya kuku akinya bata kahara? Kutegwa ategwe january ?, wengine hawategwi? Mmeshajulikana na siasa zenu za kutegana , unatamani sana teuzi , inaonekana hata dj hajakuteua, polèee.
FB_IMG_1563790106910.jpeg
 
Musibaeeeeeeeh huyu msomali leo kapanda cheo vipi campuni ya shemeji yake Rostam kaiendesha vizuri na kwa hili pia unaunga mkono mwenyekiti kweli Nawashauri wenzangu hata tukilazimishwa kueka bondi akili basi maneno tuekeni akiba . Bashite alisema kinana na Nape walifanya kazi ya kutukuka leo ukimuekea clip ile jela itakuhusu.Polepole lowasa hata akirudi hatumtaki leo coridoo za Lumumba shikamoo mzee.wacha tuone Musiba atasemaje kwa msomali kama alivyotuaminisha.
 
Hao wote ulio wataja kila kitu kwao wanasahau palepale.
Musibaeeeeeeeh huyu msomali leo kapanda cheo vipi campuni ya shemeji yake Rostam kaiendesha vizuri na kwa hili pia unaunga mkono mwenyekiti kweli Nawashauri wenzangu hata tukilazimishwa kueka bondi akili basi maneno tuekeni akiba . Bashite alisema kinana na Nape walifanya kazi ya kutukuka leo ukimuekea clip ile jela itakuhusu.Polepole lowasa hata akirudi hatumtaki leo coridoo za Lumumba shikamoo mzee.wacha tuone Musiba atasemaje kwa msomali kama alivyotuaminisha.
 
Ngoja tuone utendaji wake, coz kwenye kuchangia bungeni alikuwa vizuri.
 
Back
Top Bottom