Huu ni wivu. Angekuwa ni kaka yako huyo ndio katoboa hapo unataka kunambia usingefurahia...
Kama Mh. Waitara au kama Mb January?Safiii, huyu atapiga kazi kabisa..!!
Waziri wa kutekeleza anayo amini yeye kwa sasa Tanzania bado hajazaliwa na amini usiamini anenda kujiunga na wimbo ule ule wa ndiyooooooooLabda tueleweshane, bashe wa zamani alikuwa akiieleza serikali hili na lile, sasa hivi nae ni serikali, anachotakiwa ni kutekeleza kwa vitendo alichokuwa akiieleza serikali, vinginevyo akileta sera za hovyo atapwaya
Kama huwa husafiri hasa hasa kwenda field kwa maana ya rough roads naomba usiongee chochote mkuu. Hawa watu kazi zao asilimia 80 ni kusafiri. Hayo magari unayotaka wayapande kwa safari zao utawapeleka India kesho kutwa tu kutibiwa migongo. Hata hivyo hayo magari yanatofautiana features japo body ni lile lile. Mengi GX-R si ya starehe saana. Hayatumii mafuta mengi pia spare haziharibiki haraka. Labda kama kuna wizi then hiyo ni another case.Aisee! Najaribu kuvuta picha katika nchi zilizopiga hatua naibu waziri akimaliza kuapishwa huwa anapewa privileges gani! Je, gari la kifahari kama hili linaongezaje ufanisi wa mwanasiasa wa kawaida ambaye jimboni mwake watoto hawana madawati ya shule na asilimia zaidi ya 70% unakuta hawana maji!
Africa inabidi kujitafakali upya kama kweli tunataka kuondoka hapa tulipo au tukubaliane na manyanyaso ya mzee Trump na wenzie.
Aibu kubwa na ni ya ajabu? Unaachaje mtu ambae ana under perform au anakufanyia surbotage aendelee kukaa kwenye team eti kwa kuwa tu kuapisha ni kazi. Hell no! Rais yuko sahihi kabisa. You fu.k around you get firedHa ha ha ha kwa hiyo kazi kubwa ya huyu RAIS wa sasa hivi ni kuapisha wapya kila week kama sio kila mwezi?Hii aibu ni kubwa na ya ajabu.....
Aibu kubwa na ni ya ajabu? Unaachaje mtu ambae ana under perform au anakufanyia surbotage aendelee kukaa kwenye team eti kwa kuwa tu kuapisha ni kazi. Hell no! Rais yuko sahihi kabisa. You fu.k around you get fired
Ni kweli uliyoyasema, Fikiria mtu anaomba karibu milioni 200 kwa ajili ya kwenda kuona Mpira maili nyingi kutoka nchini kwake na anaporudi nchini anakuja kuomba mabati 80 kwa ajili ya kuezeka shule ya msingi jimboni kwake. Inaingia akilini kweli?Aisee! Najaribu kuvuta picha katika nchi zilizopiga hatua naibu waziri akimaliza kuapishwa huwa anapewa privileges gani! Je, gari la kifahari kama hili linaongezaje ufanisi wa mwanasiasa wa kawaida ambaye jimboni mwake watoto hawana madawati ya shule na asilimia zaidi ya 70% unakuta hawana maji!
Africa inabidi kujitafakali upya kama kweli tunataka kuondoka hapa tulipo au tukubaliane na manyanyaso ya mzee Trump na wenzie.
Hata wewe ukiteuliwa kabla hata hujapata habari utashangaa gari kama ilo lipo uani kwako linaungurumaJamani madaraka yanapendeza sana ndiyo maana kuna watu siku hizi wameamua kujiondoa utu wao na kuanza kulazimisha teuzi.
Huyo chini ni naibu waziri wa kilimo mh Bashe akiingia kwenye gari lake la ofisi yake mpya.View attachment 1159460
Nakubaliana na wazo lako na kwa hili Kagame katuzidi pamoja na mapungufu yake maana yeye alisha piga marufuku magari ya kifahari kama haya
Life is not fair kuna siku nilimuona nape anatoka bungeni sasa hyo gari aliyopanda ni Nissan xtrail tena namba A imechoka balaaNape hateseki chochote bali anacho fanya Nape ni kutimiza wajibu wake ingawa ni kiunafiki kama kawaida ya wana ccm
Aisee! Najaribu kuvuta picha katika nchi zilizopiga hatua naibu waziri akimaliza kuapishwa huwa anapewa privileges gani! Je, gari la kifahari kama hili linaongezaje ufanisi wa mwanasiasa wa kawaida ambaye jimboni mwake watoto hawana madawati ya shule na asilimia zaidi ya 70% unakuta hawana maji!
Africa inabidi kujitafakali upya kama kweli tunataka kuondoka hapa tulipo au tukubaliane na manyanyaso ya mzee Trump na wenzie.