Bashe akijiandaa kuondoka baada ya kuapishwa

Sass mkuu gari la 230ml linaweza kuondoa uhaba wa maji?
Viongozi lazima wawe na gari ya uhakika kumwezesha kukabili majukumu yake tena kwa wakati...sema hawatimizi tu wajibu wao lkn nyenzo wanazo
India nasikia maofisa wa umma wanatumia zaidi Maruti/TATA, sio kwa sababu wanazitengeneza bali katika kubana matumizi. Sasa hapa kwa maana halisi ya kazi, Land Cruiser mkonga na VX-V8 ipi ni idea nzuri!?
Hebu tufikirie kiuhalisia maana maendeleo hayana vyama na yanaanza na hiyo million na 220
 
Doooo mungu inusuru Tanzania yetu
WEWE unadhani kuna pongezi hapo zaidi tuu wanamnyonga mpuuzi tuu ndio anaweza kumpongeza na isitoshe , hata maitafa yanaangalia wanamuonea huruma wanatuona jini sissi Watanzania tulivyo maboizozo
 
Jamani madaraka yanapendeza sana ndiyo maana kuna watu siku hizi wameamua kujiondoa utu wao na kuanza kulazimisha teuzi.

Huyo chini ni naibu waziri wa kilimo mh Bashe akiingia kwenye gari lake la ofisi yake mpya.View attachment 1159460
hongera Bashe, dumba ya Kismayu ya yule mzee Shamduun Khalifa imefanya kazi.
dawa hiyo mpe na msukuma kasheku apate uwaziri, hata amngoe juliana shonza maana shonza kawa kishoia, hakuna analofanya zaidi ya kushinda insta
 
IMG_20190722_132257.jpg
 
Mkuu ndiyo maana kwa sasa tunawapigia magoti India ili watusaidie.
Nasikia pia na kwa jirani zetu Rwanda mawaziri wengi wanatumia Land rover 110 tazama uchumi wao unavyo kimbia
India nasikia maofisa wa umma wanatumia zaidi Maruti/TATA, sio kwa sababu wanazitengeneza bali katika kubana matumizi. Sasa hapa kwa maana halisi ya kazi, Land Cruiser mkonga na VX-V8 ipi ni idea nzuri!?
Hebu tufikirie kiuhalisia maana maendeleo hayana vyama na yanaanza na hiyo million na 220
 
nangalia uchawi wa Tanga vs soma
Jamani madaraka yanapendeza sana ndiyo maana kuna watu siku hizi wameamua kujiondoa utu wao na kuanza kulazimisha teuzi.

Huyo chini ni naibu waziri wa kilimo mh Bashe akiingia kwenye gari lake la ofisi yake mpya.View attachment 1159460
uchawi wa TAnga vs Somalia, wa mwisho ndio msindi ila niwaambieni, Msambaa hashindwi, majini ya ya Tanga hayamwachi mtu salama.
 
Tatizo la Msukuma Kasheku hata kusaini hawezi sasa hiyo wizara ataiongozaje?
Vinginevyo angesha kabidhiwa kitambo
hongera Bashe, dumba ya Kismayu ya yule mzee Shamduun Khalifa imefanya kazi.
dawa hiyo mpe na msukuma kasheku apate uwaziri, hata amngoe juliana shonza maana shonza kawa kishoia, hakuna analofanya zaidi ya kushinda insta
 
Aisee! Najaribu kuvuta picha katika nchi zilizopiga hatua naibu waziri akimaliza kuapishwa huwa anapewa privileges gani! Je, gari la kifahari kama hili linaongezaje ufanisi wa mwanasiasa wa kawaida ambaye jimboni mwake watoto hawana madawati ya shule na asilimia zaidi ya 70% unakuta hawana maji!

Africa inabidi kujitafakali upya kama kweli tunataka kuondoka hapa tulipo au tukubaliane na manyanyaso ya mzee Trump na wenzie.
Huu ni wivu. Angekuwa ni kaka yako huyo ndio katoboa hapo unataka kunambia usingefurahia...
 
Kuna mkuu mmoja alinichekesha kwenye comment yake kwenye uzi fulani kuwa sasa Bashe ni Mgogo mzaliwa wa Mvumi Dodoma sio Msomali tena. hahahahaahahahaahahahah
FUSO
😂😂😂😂😂😂😂
 
Najiuliza tu tz kwanini watu wajinga kama wewe bado wapo, na sijui nani duniani hajipendekezi kwa namna moja au nyingine. Sijui kama unajua nia ya mtu yeyote anayejitosa kwenye siasa. Sifahamu kama unafahamu duniani pia wapo watu wenye nia njema ambao wangependa kuingia ngomani na kucheza kwa manufaa ya watazamaji. Nakuomba kutoka moyoni acha unafiki. Kuna mengi umefanya ambayo tungeyajua pengine hata sura yako hapa usingeiweka, acheni kufanya maisha kama hayaendelei vipi. Vijana wengi watz wezi wakubwa wa mali za umma ndo mana mnakuja danach hapa kupiga KELELE. Wivu ni sumu.
Jamani madaraka yanapendeza sana ndiyo maana kuna watu siku hizi wameamua kujiondoa utu wao na kuanza kulazimisha teuzi.

Huyo chini ni naibu waziri wa kilimo mh Bashe akiingia kwenye gari lake la ofisi yake mpya.View attachment 1159460
 
Wacha watowane kafara
nangalia uchawi wa Tanga vs soma

uchawi wa TAnga vs Somalia, wa mwisho ndio msindi ila niwaambieni, Msambaa hashindwi, majini ya ya Tanga hayamwachi mtu salama.
FB_IMG_1563790106910.jpeg
 
Naona mapovu yanakutoka bila faida dadeeki utaendelea kusaga sori za viatu na kigazeti chako cha uhuru mkononi

Back
Top Bottom