Ni kwamba akili wameweka bondi kwa mwenyekiti na hata maneno hawaweki akiba hata kidogo basi ili kuweza kujinasua wanapokwamishwa na muda.?Hao wote ulio wataja kila kitu kwao wanasahau palepale.
Ni kwamba akili wameweka bondi kwa mwenyekiti na hata maneno hawaweki akiba hata kidogo basi ili kuweza kujinasua wanapokwamishwa na muda.?Hao wote ulio wataja kila kitu kwao wanasahau palepale.
Ni kwamba akili wameweka bondi kwa mwenyekiti na hata maneno hawaweki akiba hata kidogo basi ili kuweza kujinasua wanapokwamishwa na muda.?
huyu msomali cha kwanza lazma aongeze mke,maana mke wake yule husna mtoto wa Rostam azizi anaonekana kuchoka sanaWacha watowane kafara View attachment 1159493
Ndio kiungo mchezeshaji wa Rostam, na Rostam ndio mtoto wa mjini kwa sasa baada ya Home shopping, ridhiwani, Kinje kupigwa kufuli,Duuu kumbe ndiyo maana kapewa shavu na mwenye kuteua maana kwa sasa rostam ni best wa mteuzi
Bashe namuunga mkono na yeye bado anakinyongo kwa akina nape kinana na jk walivyomtenda lowasa kasimamia mile alichoamini alikuwa ndie manager wa kampeni wa lowasa kila mmojaanasimamia anachikuaminiNaona Bashe unafiki umemlipa baada ya kuungana na Musiba
Ndio kiungo mchezeshaji wa Rostam, na Rostam ndio mtoto wa mjini kwa sasa baada ya Home shopping, ridhiwani, Kinje kupigwa kufuli,
bashe ndio mkurugenzi wa makampuni matano ya rostam, including SPENCON ambayo ni kubwa sana Africa, na ndiyo iliyojenga majumba ya polisi kwa gharama kubwa sana, pale oystebay, shoppers na maeneo mengine, mjini form 6 broda.
Bashe namuunga mkono na yeye bado anakinyongo kwa akina nape kinana na jk walivyomtenda lowasa kasimamia mile alichoamini alikuwa ndie manager wa kampeni wa lowasa kila mmojaanasimamia anachikuamini
kwanini na wewe usipige kazi?Safiii, huyu atapiga kazi kabisa..!!