Mkuu hivi kutumbuliwa ni kupata shida?Hakuna anaye tumbuliwa akafurahia huo ni uongo mkubwa maana hakuna anaye furahia kupata shida
Kuna mkuu mmoja alinichekesha kwenye comment yake kwenye uzi fulani kuwa sasa Bashe ni Mgogo mzaliwa wa Mvumi Dodoma sio Msomali tena. hahahahaahahahaahahahah
FUSO
La kwake ni la kwake, hili jipya ni la serikali ndiyo la kutumia kwenye wizara anayofanyia Kazi, umeeelewa?Je kabla hili gari lilikuwa linatumiwa na nani? Hasijeona twiga au punda barabarani. Lile la alilokopeswa wakati wa ubunge atabaki nalo? na kwa nini akuendelea kulitumia?
Ilihali yeye anatumia Range Rover! Na aina nyingi za land cruiser v8'sNakubaliana na wazo lako na kwa hili Kagame katuzidi pamoja na mapungufu yake maana yeye alisha piga marufuku magari ya kifahari kama haya
Kapatikana huyo!!! Hapigi kelele tena!!! Raisi kamwambia aende akapractice hizo theory zake alizokuwa anazitoa bungeni. Kazi anayo!!!!!Jamani madaraka yanapendeza sana ndiyo maana kuna watu siku hizi wameamua kujiondoa utu wao na kuanza kulazimisha teuzi.
Huyo chini ni naibu waziri wa kilimo mh Bashe akiingia kwenye gari lake la ofisi yake mpya.View attachment 1159460
Aisee! Najaribu kuvuta picha katika nchi zilizopiga hatua naibu waziri akimaliza kuapishwa huwa anapewa privileges gani! Je, gari la kifahari kama hili linaongezaje ufanisi wa mwanasiasa wa kawaida ambaye jimboni mwake watoto hawana madawati ya shule na asilimia zaidi ya 70% unakuta hawana maji!
Africa inabidi kujitafakali upya kama kweli tunataka kuondoka hapa tulipo au tukubaliane na manyanyaso ya mzee Trump na wenzie.
Je kabla hili gari lilikuwa linatumiwa na nani? Hasijeona twiga au punda barabarani. Lile la alilokopeswa wakati wa ubunge atabaki nalo? na kwa nini akuendelea kulitumia?
hizo nyasi za ikulu hazimaigiliwi au mbona ni kijani mpauko.
acheni ale raha wakuu. alisawahi kuamimbiwa sio mtzz, hapa anapoza machungu kidogo ya kutaka kugeukwa na kachama.
Mil 230????.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Sass mkuu gari la 230ml linaweza kuondoa uhaba wa maji?
Viongozi lazima wawe na gari ya uhakika kumwezesha kukabili majukumu yake tena kwa wakati...sema hawatimizi tu wajibu wao lkn nyenzo wanazo
hata chadema mkuu. anza kuacha kusifia chadema leo, na mimi nikuambie uhai wako chadema mwisho liniNdani ya ccm ukitaka uishi kwa uhakika basi wewe kuwa mtu wa kusifia