Bashe akijiandaa kuondoka baada ya kuapishwa

Bashe akijiandaa kuondoka baada ya kuapishwa

Aisee! Najaribu kuvuta picha katika nchi zilizopiga hatua naibu waziri akimaliza kuapishwa huwa anapewa privileges gani! Je, gari la kifahari kama hili linaongezaje ufanisi wa mwanasiasa wa kawaida ambaye jimboni mwake watoto hawana madawati ya shule na asilimia zaidi ya 70% unakuta hawana maji!

Africa inabidi kujitafakali upya kama kweli tunataka kuondoka hapa tulipo au tukubaliane na manyanyaso ya mzee Trump na wenzie.
Africa is a land for unwise, ignorant crazy, corrupt and stupid people in the whole world.

Karibu kwa povu at your own risk.
 
Waliotaka kumuondolea uraia ndiyo hao hao leo wamemuona anafaa kushika uwaziri.

Tulieni wakati wa kutoa maamuzi yenu na ikibidi kunyweni glass ya maji kabla ya kutoa matamko yenu
Ulitakaa aingie guest
Hukondikooo MUNGU KAMPANGIA
MUNGU SIO ATHUMANI MLITAKA KUMWONDOLEA URAIA LEO HII MUNGU AMEMWINUA KUANZIA MWANZO MWISHOO
 
Nawe mwambie mpiga tumba kuwa wakulima wa korosho na kahawa na pamba wanakufa na njaa
Mmawia umekula lunch ? Naona leo umeshika bango kweli , msalimie dj mwambie mbona kimya sana.
 
Mkuu inaonekana una ABC angalu juu ya Nzega na siasa zake.
Bashe sio mnyamwezi lakini kazaliwa huko kwa akina Kigwa na mengi kayarithi utafikiri ni mnyamwezi, maana yangu alichokifanya Bashe ni copy and paste kutoka kwa Kigwa na kweli kafanikiwa.. ninavyomjua lazima kesho hii gari kwanza ionekane Nzega pale kijiweni stendi kwa wale vijana washikaji wake ili sasa waongee vizuri na kuwaringishia team Kigwa..baada ya hapo piga ua garagaza lazima jioni yake ikapaki pale makao makuu ya siasa za Nzega yaani "BBC" ili tu team Kigwa waone kitu kinachofanana na kile cha Bosi wao (Kahawa kama kawaida) , pamoja na yote hayo kuwa huenda wakuu wanamlia timing ili baadae wapate sababu za kumtema kutoka kwenye ulingo lakini yeye tayari keshatoa mkosi kwani tayari kauonja uwaziri kama hasimu wake Kigwa na kazi 2020 inabaki palepale.
 
Kama ni kukosoa mbona hakumpatia Tundu Lissu au Zitto Kabwe?
Kama alimsikiliza vyema Rais leo aelewe tu kuwa kazi aliyopewa imekaa kimtego. Michango yake bungeni ya kukosoa ndio imemfanya mkuu kumpatia hiyo kazi, na hivyo atttention itakuwa kubwa sana kwake
 
Aisee! Najaribu kuvuta picha katika nchi zilizopiga hatua naibu waziri akimaliza kuapishwa huwa anapewa privileges gani! Je, gari la kifahari kama hili linaongezaje ufanisi wa mwanasiasa wa kawaida ambaye jimboni mwake watoto hawana madawati ya shule na asilimia zaidi ya 70% unakuta hawana maji!

Africa inabidi kujitafakali upya kama kweli tunataka kuondoka hapa tulipo au tukubaliane na manyanyaso ya mzee Trump na wenzie.
Unajuwa kwa nini serikali inatumia Landcrusers? Kwa sababu barabara ni mbovu. Wanaacha kutengeneza barabara kila mwananchi akatumia wananunuwa Landcruisers wanatumia 0.0005%!
 
Ina maana watu wanao tumia aina hiyo ya magari na hizo namba A unawaona kuwa hawana heshima kwenye jamii?
Life is not fair kuna siku nilimuona nape anatoka bungeni sasa hyo gari aliyopanda ni Nissan xtrail tena namba A imechoka balaa
 
Asante sana mkuu kwa kuhitaji ufafanuzi huo kutoka kwangu lkn bahati mbaya Mimi sijawahi kununua gari jipya kwa maana ya 0 km.

Mimi huwa nawaunga mkono waarabu tu
Hilo gari la Mhe. NWK likiwa jipya (Odo=0) linagharimu kiasi gani (TZS-CIF Daresalaam):
(a) Bila kodi (kwa wasiolipa kodi mf.Serikali,nk) na ;
(b)Likilipiwa kodi (Kwa wanaolipa kodi)

Natanguliza shukrani
 
Hao ndiyo aina ya viongozi tulio nao kwa sasa hapo tanganyika
Ni kweli uliyoyasema, Fikiria mtu anaomba karibu milioni 200 kwa ajili ya kwenda kuona Mpira maili nyingi kutoka nchini kwake na anaporudi nchini anakuja kuomba mabati 80 kwa ajili ya kuezeka shule ya msingi jimboni kwake. Inaingia akilini kweli?
 
Back
Top Bottom