Kupokezana vijiti tu mkuu, ukiteuliwa unafuraia na ukitumbuliwa unafuraia, inapaswa kuwa hivyo.siku ya kulikabizi ka mteule mpya tutamkumbusha pia hii picha
Jamani madaraka yanapendeza sana ndiyo maana kuna watu siku hizi wameamua kujiondoa utu wao na kuanza kulazimisha teuzi.
Huyo chini ni naibu waziri wa kilimo mh Bashe akiingia kwenye gari lake la ofisi yake mpya.View attachment 1159460
Teh teh! Acha ujinga basiSafiii, huyu atapiga kazi kabisa..!!
Hizi fursa ndo zinamtesa NAPE.Jamani madaraka yanapendeza sana ndiyo maana kuna watu siku hizi wameamua kujiondoa utu wao na kuanza kulazimisha teuzi.
Huyo chini ni naibu waziri wa kilimo mh Bashe akiingia kwenye gari lake la ofisi yake mpya.View attachment 1159460
Ngoja tumsikie na yeye baada ya kupanda hilo gari kubwa atakuja na lipi jipya. I was surprise byu his tone last week about Kinana na Mzee Makamba. Kweli RA sio mchezo,siku ya kulikabizi kwa mteule mpya tutamkumbusha pia hii picha
Jamani madaraka yanapendeza sana ndiyo maana kuna watu siku hizi wameamua kujiondoa utu wao na kuanza kulazimisha teuzi.
Huyo chini ni naibu waziri wa kilimo mh Bashe akiingia kwenye gari lake la ofisi yake mpya.View attachment 1159460
Nakubaliana na wazo lako na kwa hili Kagame katuzidi pamoja na mapungufu yake maana yeye alisha piga marufuku magari ya kifahari kama hayaAisee! Najaribu kuvuta picha katika nchi zilizopiga hatua naibu waziri akimaliza kuapishwa huwa anapewa privileges gani! Je, gari la kifahari kama hili linaongezaje ufanisi wa mwanasiasa wa kawaida ambaye jimboni mwake watoto hawana madawati ya shule na asilimia zaidi ya 70% unakuta hawana maji!
Africa inabidi kujitafakali upya kama kweli tunataka kuondoka hapa tulipo au tukubaliane na manyanyaso ya mzee Trump na wenzie.
huyu tayari amejiunga rasmi na praise team.Ngoja tumsikie na yeye baada ya kupanda hilo gari kubwa atakuja na lipi jipya. I was surprise byu his tone last week about Kinana na Mzee Makamba. Kweli RA sio mchezo,
Sie tutawaliwe tu Trump yupo swAisee! Najaribu kuvuta picha katika nchi zilizopiga hatua naibu waziri akimaliza kuapishwa huwa anapewa privileges gani! Je, gari la kifahari kama hili linaongezaje ufanisi wa mwanasiasa wa kawaida ambaye jimboni mwake watoto hawana madawati ya shule na asilimia zaidi ya 70% unakuta hawana maji!
Africa inabidi kujitafakali upya kama kweli tunataka kuondoka hapa tulipo au tukubaliane na manyanyaso ya mzee Trump na wenzie.
Kuna uliye wahi kumkataa kuwa hataweza kazi?