William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #61
- Saalam kwa wakuu wote mliohudhuria jana kwenye bash la mwaka, ninasema I am humbled, maana never before kuona something like this bash ilihudhuriwa na wananchi karibu 200, maofisa wote wa ubalozi wetu NY walikuwepo, maofisa wetu wengi wa Umoja wa Mataifa wakiongozwa na msaidizi maalum wa Naibu Katibu Mkuu wa UN alikuwepo, Balozi wetu UN pia alikuwepo, what a day! Afisa utawala wa ubalozi wetu NY alitoa speech na baadaye pia balozi wetu UN alitoa speech nzito sana ambapo aliwataka wananchi wa Tanzania walioko US kuiga mfano wa hawa vijana wawili wanaorudi nyumbani, ambapo Mama Migiro aliwataka wananchi kuendeleza mshikamano na umoja wetu huu, hata tukiwa ugenini.
- Wananchi walalahoi wenzangu ndio usiseme, tulikuwa wote as one na bega kwa bega kufanikisha siku hii, kuanzia kwenye kuchoma nyama mpaka usiku kwenye muziki Club Alamo mpaka majogoo leo asubuhi, walikuwepo wananchi kutoka Boston, Philadephia, Poconos, Delaware, DC, PA na CT, halafu kulikuwa na mazee kutoka Jersey City, Brooklyn, Long Island, City Island, Queens, Manhattan yaani New York City, na Roosevelt Island guys again I am humbled, never before nimewahi kutayarisha best bash kama hii katika maisha yangu ya macelebrations, it was fantastic nyama na kuku tumerudi nazo, na vinywaji vilivyotumika ni robo tu, vingine vyote tumerudi navyo, sasa nitatafuta another day kabla ya mwisho wa Summer tukutane tena kuvimalizia yes I mean it.
- Wakulu wote mlioitikia mwito wa kuja kushirikiana na sisi watayarishaji Mungu awape zaidi, ninarudia tena kwamba sijawahi katika maisha yangu kutayarisha bash lililofanikiwa kama hili maana ilibidi wananchi wengine pale park kubaki wakitu-admire wabongo tukila starehe bila matatizo wala taabu, ustaarabu wa hali ya juu sana, watoto wetu wadogo wakijirusha kila kona ya park, ooooh! God bless Tanzania.
- Kwa niaba ya watayarishaji wote tulioshirikiana kutayarisha the bash la jana, na waagwa pia naomba kutoa shukrani zangu kwa wananchi wote mliojitokeza jana kuanzia saa Saba mchana mpaka leo asbuhi majogoo, ninasema kwamba tupo pamoja na in the future tutaendelea kuwa pamoja sana kama siku zote katika shida na raha, na tutaliendeleza libeneke la raha jipe mwenyewe mpaka kieleweke! Wananchi wengine wote nitawatumia e-mails za shukrani soon.
Heshima kwa Wote! na Mungu Awabarikie! na Kwaherini ya Kuonana Tena!
Community Organizer - CO William Malecela.