MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
Ni posho gani walichukuwa:-
Posho ya vikao sitting allowance
au
Posho ya kujikimu
au
Ni posho zote
Posho ya vikao sitting allowance
au
Posho ya kujikimu
au
Ni posho zote
Mbona wauliza swali baada ya kujijibu mwenyewe?mnampongeza Zitto kwa lipi na kuwaponda wabunge wengne wa cdm?
Wana Jf sheria za bunge znasema usipoudhuria ktk vikao vya bunge mara tatu mfululizo kuna adhabu itachukuliwa. Zitto hajasaini kitabu cha maudhuria ila mpaka bunge linaisha tarehe 26 hakuchukuliwa hatua. Je ni kweli Zitto hajasaini?
Hapo sasa!Ni posho gani walichukuwa:-
Posho ya vikao sitting allowance
au
Posho ya kujikimu
au
Ni posho zote
Mwenyekiti wa CDM alisema wabunge wamekuwa wakilipwa mishahara kwa mwezi pamoja na fedha za kujikimu (per diem) wanapokuwa nje ya majimbo yao yao kikazi na kwamba wanachopinga ni "posho za vikao" (sitting allowance) ambazo ni kikwazo cha utekelezaji wa kazi za serikali na majukumu mengine katika ofisi za umma.
Kwa mfano, mimi ni mjumbe wa kamati ya uongozi (ya bunge), nasaini sitting allowance katika kikao cha bunge, nikiitwa katika kikao cha kamati ya uongozi nasaini tena sitting allowance na hata kama kutakua na kikao kingine jioni naweza kulipwa, sasa kama huo siyo wizi ni nini?

Mnafiki zaidi ni nani kati ya Chadema ambapo kunatoka Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (alirudisha shangingi), na naibu wake (amekataa posho) au wabunge wa CCM walalao bungeni na kuunga hoja asilimia mia moja? Katibu mkuu Jairo anatoka Chadema? Kahonga wabunge wapitishe bajeti ya wizi.

CCM unafiki mtupu!

"Katika ilani ya uchaguzi ya chadema ya mwaka 2010,chadema kilikataa posho.Kikawaelekeza wabunge wake wazipinge bungeni.Hatuwezi kuungana na wenzetu wanoziunga mkono".Alisema Marando.

Hata hivyo taarifa kutoka ofisi za bunge hadi jana zionasema ni Zito Kabwe pekee ndiye mbunge wa chadema ambayea aliacha kusaini posho huku wengine wote wakitia kibindoni. source Mwananchi.-29/08/2011 page 4

UTAWATAMBUA KWA MATENDOOOO..MATENDOO
Jasusi;2423506]Hata ukiangalia ofisi ya bunge imefanya mchezo wa kisiasa kutoa taarifa hii. Ilitaka Chadema waonekane kuwa wanafiki wakati wabunge wengi wa CCM wanapinga kuondolewa kwa posho za wabunge. That should be the issue na wala si unafiki wa Chadema. Sasa suala limegeuka kuwa Chadema badala ya kujiuliza ni kwa nini CCM inashikilia wapewe posho na kwamba hizo posho hazitoshi, ziongezwe
Wakuu, Tatizo ninaloliona na mchezo wa siasa unaochezwa na serikali vizuri sana.Jasusi;2423506]Hata ukiangalia ofisi ya bunge imefanya mchezo wa kisiasa kutoa taarifa hii. Ilitaka Chadema waonekane kuwa wanafiki wakati wabunge wengi wa CCM wanapinga kuondolewa kwa posho za wabunge. That should be the issue na wala si unafiki wa Chadema. Sasa suala limegeuka kuwa Chadema badala ya kujiuliza ni kwa nini CCM inashikilia wapewe posho na kwamba hizo posho hazitoshi, ziongezwe
hata kama zitto anatafuta popularity sisi inatuhusu nini? sisi la mhimu ni kodi zetu zitumike vizuri. Lakini sishengai kwani michango yako yote kwa zitto ni negative siku zote. kwa hiyo thread kama hii ungeachia tu ipite usingepoteza chochote kuliko kuandika utumbo wako hapa. Laslty kwenye politics is always popularity and not otherwise.For some reason I just think Zitto is not serious or sincere with this and he is just trying to score some political popularity points.