Barua: Zitto akataa posho za vikao

Barua: Zitto akataa posho za vikao

Kutokuchua posho ni msimamo wa Chadema policywise. Wanachogombea ni kuona kuwa posho za wabunge zinafutwa as a policy, lakini sioni unafiki wowote wakati posho zinatolewa kwa wabunge kwa Chadema kukataa kuzichukua. Hakuna contradiction hapo.

Duh! hata mwenyekiti anatia mfukoni posho ? Sirlimu kuhusu shangingi bado analo nilimuona wiki iliyopita.

Kutokuchua posho ni msimamo wa Chadema policywise. Wanachogombea ni kuona kuwa posho za wabunge zinafutwa as a policy, lakini sioni unafiki wowote wakati posho zinatolewa kwa wabunge kwa Chadema kukataa kuzichukua. Hakuna contradiction hapo.

Wangezigomea wote naamin ccm wangeona aibu, ungekuwa mwanzo mzur wa kufuta posho.

Kutokuchua posho ni msimamo wa Chadema policywise. Wanachogombea ni kuona kuwa posho za wabunge zinafutwa as a policy, lakini sioni unafiki wowote wakati posho zinatolewa kwa wabunge kwa Chadema kukataa kuzichukua. Hakuna contradiction hapo.
Jasusi ukiongelea policy hata serikali ina mpango huo wa kufuta posho na allowance luluki LAKINI haina uthubutu,na hapa tumegundua hata upinzani hamna uthubutu ukimuondoa NYEPESI.

Huu labda ni uposhaji!si wapo hapa jamvini watupe ukwel tujue mbivu na mbichi!!

pesa bwana, kama yesu alisalitiwa ije kuwa sisi watanzania tusio na mbele wala nyuma. Siasa za bongo sioni aliye mzalendo wa kweli, they are all trying to push their personal interest first, then interest of their families and close friends, then that of their party and lastly interest of the country (wananchi).

Nani chadema mwenye uzalendo wa kulingana na Mwl. Nyerere au hata Hayati Edward Moringe Sokoine? (Mungu awarehemu)

MWANANCHI inahitaji kutufafanulia zaidi kuhusu hili.

Tunakumbuka mjadala wa posho ulichukuliwa ni wa kitaifa. Ni mjadala ambao umeacha makovu ndani CHADEMA hasa ukimtaja Shibuda. Lakini vilevile ulitikisa hata nje ya CHADEMA, taja jina la January Makamba.

Suala hilo lilipamba magazeti kwa kuwa habari iliyojaza kurasa mbili au zaidi.

Nimeisoma habari yote a MWANANCHI leo.

Kwanza kuna utata wa kujaza fomu na kuchukua posho. Pendekezo la CHADEMA lilikuwa ili kuepuka mtego wa kubambikiziwa kwamba mbunge amechukua posho basi zitenganishwe fomu za mahudhurio na za kupokea posho. Je, fomu za kupokea posho zimeshatenengezwa?

Kama fomu hazijatangenezwa basi ndiko kulekule kwa masuala a mahudhuriao ambayo hatuna haja ya kuyarudia maana nchi nzima iliyajadili labda kama humu JF kuna wasinziaji kama wale wabunge wachapa usingizi.

Mambo ya kusema habari za kuaminika toka mahala fulani ndiyo Nape Nnauye anapigana nayo kuhusu kukataa mwandishi aliyemuuliza kuhusu barua ya Tendwa kuitwa kwa masuala ya muafaka na CHADEMA

Hivyo, MWANANCHI itafute mbinu za kupata wasomaji kuliko kukimbilia kupachika sentensi moja kujibu mjadala wa posho uliochukua wiki kadhaa na kujaza kurasa za magazeti yote East Africa.

Na ukiangalia kwa makini utaona inasema "taarifa toka ofisi ya Bunge". Ninavyowajua MWANANCHI wameandika habari nyingi wakisisitiza neno "Barua ambayo MWANANCHI imeiona". Hapa wanasema ni taarifa. Hawasemi kama wameona signed document ambao CHADEMA wamepokea posho hizo.

Hivyo gazeti kama hili litambu kuwa umakini wa wasomaji umeongezeka na si rahisi kuwapata vipofu wa kuishia kusoma juujuu. Ni hali hii ya uandishi inayofanya gazeti moja leo lilalamike kuwa mitandao imesababisha magazeti yapungue soko.

Kutokuchua posho ni msimamo wa Chadema policywise. Wanachogombea ni kuona kuwa posho za wabunge zinafutwa as a policy, lakini sioni unafiki wowote wakati posho zinatolewa kwa wabunge kwa Chadema kukataa kuzichukua. Hakuna contradiction hapo.

Mkuu Jasusi,unakubali kuwa mzee Marando hakujibu vizuri hoja hiyo siku ya mdahalo? Mimi naamini haya yote yamechochewa na jibu la Marando.

kweli hawa chadema ni wanafiki huwa wanakazana kuongea bungeni ooooh sisi hatutaki posho! baadaye wana saini wanatia kibindoni, pesa pesa pesa weeeeeeeeeh ilimsaliti YESU.

Mnafiki zaidi ni nani kati ya Chadema ambapo kunatoka Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (alirudisha shangingi), na naibu wake (amekataa posho) au wabunge wa CCM walalao bungeni na kuunga hoja asilimia mia moja? Katibu mkuu Jairo anatoka Chadema? Kahonga wabunge wapitishe bajeti ya wizi.
CCM unafiki mtupu!

Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi ni kwamba CHADEMA walishatoa maelezo ya kile wanachopinga. Ni mfumo sio particular transation. Na ilivyo sasa, uki-sign daftari la mahudhurio basi hela zinalipwa moja kwa moja kwenye account yako. Pia nadhani kuna madhara kama wabunge wote wa CHADEMA wangegomea kuto-sign mahudhurio (mwenye uelewa zaidi asaidie hapa tafadhali). Kwa hiyo ili kuondoa tatizo lote walishauri KUNG'OA MTI NA SIO KUKATA MATAWI. Na bunge ndio chombo sahihi cha kutunga sheria.

Nadhani ccm wanaweza kujaribu ku-spin hii lakini kwa kumbukumbu zangu CHADEMA walijaribu sana kupaza sauti za kubalisha hii sheria inayoruhusu posho lakini hawakufanikiwa. Wasiwasi wangu ccm wanaweza kupoteza umuhimu wa huu mjadala kwa kusema kuwa hawa CHADEMA nao wamepokea lakini cha msingi hapa tukumbuke kama hatutajikita kwenye kujadilikubalisha mfumo tutapotea tatizo la msingi.

Hii taarifa imenishtua sana!!!!sijui tunaelekea wapi.who iz cleannnnnn.imenidiscourage kisiasa.

Kutokuchua posho ni msimamo wa Chadema policywise. Wanachogombea ni kuona kuwa posho za wabunge zinafutwa as a policy, lakini sioni unafiki wowote wakati posho zinatolewa kwa wabunge kwa Chadema kukataa kuzichukua. Hakuna contradiction hapo.

Jasusi,

Unamaanisha kwakuwa policy ni chama wao hawakutakiwa kugomea hizo posho. Mh kama kutafakari kwenye ndio huku basi bado hatujapata wanamageuzi wa dhati nchini. Gandhi aliwahi kusema mageuzi ya fikra huanza na wewe mwenyewe. Ikiwa unataka policy za maendeleo basi uonyeshe mfano. Obama alikata mshahara wake pamoja na white house staff kabla hajaingiza policy za kupunguza mishahara serikalini. Indian corruption official (Mr Hazarre) aliamua kugoma kula kushinikiza serikali iweke mipango thabiti ya kupambana na ufisadi. Chadema wanapigana na ufisadi lakini wao wanaenda the opposite unafikiri wananchi watawaona wako serious kweli. Hebu fikiria mara mbili kauli huu ni simply unafiki kama ni ukweli. Big up Zitto Kabwe huo ndio ukomavu wa kisiasa na wananchi baadhi yetu tuko nyuma yako.

kama sisi na shule zetu swala la posho linatupasua kichwa kupata nini cdm wanataka,vp wananchi wasio na elimu waliojaa?turahisishe sera jamani watu watuelewe sio mpaka mishipa itusimame alaa!

Mbivu gani unasubiri na hii imetoka JIKONI zinapotoka posho ?

jikoni ni wapi? mtu akisema lete ushahidi toa ushahidi, mtu kakurupuka kuanzisha post na wewe unasema imetoka jikoni, hata habari ya ma'trilioni ya shimbo imetoka jikoni na si yakweli,

kama kumbukumbu zangu ziko sahihi ni kwamba chadema walishatoa maelezo ya kile wanachopinga. Ni mfumo sio particular transation. Na ilivyo sasa, uki-sign daftari la mahudhurio basi hela zinalipwa moja kwa moja kwenye account yako. Pia nadhani kuna madhara kama wabunge wote wa chadema wangegomea kuto-sign mahudhurio (mwenye uelewa zaidi asaidie hapa tafadhali). Kwa hiyo ili kuondoa tatizo lote walishauri kung'oa mti na sio kukata matawi. Na bunge ndio chombo sahihi cha kutunga sheria.

Nadhani ccm wanaweza kujaribu ku-spin hii lakini kwa kumbukumbu zangu chadema walijaribu sana kupaza sauti za kubalisha hii sheria inayoruhusu posho lakini hawakufanikiwa. Wasiwasi wangu ccm wanaweza kupoteza umuhimu wa huu mjadala kwa kusema kuwa hawa chadema nao wamepokea lakini cha msingi hapa tukumbuke kama hatutajikita kwenye kujadilikubalisha mfumo tutapotea tatizo la msingi.
sasa we ndo unaspin,kwanini zito asisign na bado ni mbunge na yeye ni chadema? Tuwe wakweli na tutende tunachosema..kigeugeu.

Kwa uelewa wangu, issue haikuwa POSHO as a whole bali CDM walikuwa specific na kupinga "sitting allowance". Sidhan kama Per Diem ina mzozo.

Kuna watu wanapotosha mambo kwa kusema CDM na wanaharakati wengine wanapinga Posho zote. Hii si kweli. Sasa wenye taarifa watujuze hizo posho walizochukua hao wabunge ni sitting allowance walizokuwa wanapinga? au Per Diem(ambayo ni halali). Kama ni hiyo sitting allowance basi naungana na Jaguar kwenye nyimbo yake ya KIGEUGEU kwan ndivyo wanavyostahili kuimbiwa

mm namfikiria mtu wa kulee namtumbo,ambae ataambiwa wanafiki hawa wanawadanganya wote posho wanachukua kama sisi! Tusilete utetezi uliojaa falsafa ngumu kwa wananchi wa kawaida,hatukuliweka vema hili jamani,Sorry fellas!

"Katika ilani ya uchaguzi ya chadema ya mwaka 2010,chadema kilikataa posho.Kikawaelekeza wabunge wake wazipinge bungeni.Hatuwezi kuungana na wenzetu wanoziunga mkono".Alisema Marando.

Hata hivyo taarifa kutoka ofisi za bunge hadi jana zionasema ni Zito Kabwe pekee ndiye mbunge wa chadema ambayea aliacha kusaini posho huku wengine wote wakitia kibindoni. source Mwananchi.-29/08/2011 page 4

UTAWATAMBUA KWA MATENDOOOO..MATENDOO

Back
Top Bottom