Barua: Zitto akataa posho za vikao

Barua: Zitto akataa posho za vikao

Siasa ni mchezo wa unafiki. Huwezi kuwa mwanasiasa bila kuwa mnafiki au walau kuleta unafiki mara moja moja na hii ni kwa wanasiasa wote wa CCM au Chadema au Tanzania au nchi zingine. Fuatilieni sana na mniambie kama kuna mwanasiasa hata mmoja ambae hajawahi kusema au kufanya kitu contradictory.

I agree with you. Hypocrisy is not forbidden in politics.

Hivi ni vichekesho vya Sikuu ya Idd, kwani chadema walikubaliana lini wasichukue hizo Posho? au CCM ina mtumia mtu kuchanganya wenzake?

Unajua nn chadema co kwamba inataka wao ndo wanymwe posho bali wabunge wote. Hebu jarbun kuwa waelewa co mnakurupuka kuwaita chadema wanafk.

Chadema hawana tofauti na wanasisas wengine, ni wanafiki na watakapo chukua nchi watakuwa wanfiki kuliko magamba.
Mbowe, Lissu, Lema na wenzao ni wanafiki na wapo after maslahi yao na sio maslahi ya wananchi.
Ni wanafiki kama wanasiasa wengine.

{"Katika ilani ya uchaguzi ya chadema ya mwaka 2010,chadema kilikataa posho.Kikawaelekeza wabunge wake wazipinge bungeni.Hatuwezi kuungana na wenzetu wanoziunga mkono".Alisema Marando.

Hata hivyo taarifa kutoka ofisi za bunge hadi jana zionasema ni Zito Kabwe pekee ndiye mbunge wa chadema ambayea aliacha kusaini posho huku wengine wote wakitia kibindoni. source Mwananchi.-29/08/2011 page 4}

ur source z noted!!! Unauhakika gani kama ile habari hawajamaifabricate?? Kumbukumbu zangu hawa jamaa "Mwananchi" walishawahi kuwa wanatengeneza habari Kumpamba zito ili again popularity na walijitahidi kwa kweli mpaka pale uovu wao ulipovumbuliwa wakapumzika, Bunge limeisha Jamaa anataka aendelee kusikika masikioni mwa watz, na ndio keshaanza hivo!!! Kuhusu Posho, ninachofahamu ukusain tu pale mjengoni kwamba umehudhuria Bunge ile hela inaingia kwenye akaunti yako, na usiposaini kwa zaidi ya siku tatu inatambulika hujahudhuria Bunge, na kwa zito ilikuwa hivo kwa siku mbili za kwanza, siku ya tatu nlisikia akasain!!!!! Kama hakusaini na hakuchukuliwa hatua za kinidham na Bunge kwann?? Na kama Alisain ikaweje awekewe hilo vumba kwenye akaunti yake??? Haya ndo Maswali kujiuliza wanaJF!!!! CDM huyu jamaa wa kigoma muwe nae macho sana!!!!! ni.......ka

"Katika ilani ya uchaguzi ya chadema ya mwaka 2010,chadema kilikataa posho.Kikawaelekeza wabunge wake wazipinge bungeni.Hatuwezi kuungana na wenzetu wanoziunga mkono".Alisema Marando.

Hata hivyo taarifa kutoka ofisi za bunge hadi jana zionasema ni Zito Kabwe pekee ndiye mbunge wa chadema ambayea aliacha kusaini posho huku wengine wote wakitia kibindoni. source Mwananchi.-29/08/2011 page 4

UTAWATAMBUA KWA MATENDOOOO..MATENDOO
Kuna mamwili hapa.
1. Umetumwa ili Kumpa Zito Political score hapa ( kitu amabcho sikiamin saaana kwa Zitto kufanya hivyo
2. Unataka kuleta zile Missunderstanding kati ya Zitto na Chadema ( Utakuwa ni Bgewe flan amabaye ukisikia CHADEMA tu Mavi yanagonga Chupi).

Hitimisho.
Utawapata wale wote wanaofikiri kwa kutumia Masaburi kama wewe

Asilimia kubwa ya wanasiasa ni wanafiki wanaoongea yale wasiyoweza kuyafanya na Chadema na Viongozi wake hawawezi kuwa tofauti, kama nisivyoshangazwa na Dr.Slaa kuchukua mshahara wa kiwango alichokuwa akikipinga, sintashangazwa pia na hili ata kidogo, hii ni tabia halisi ya wanasiasa wetu...

CDM ni wasanii sana hawana dhamira ya dhati ya kuwaongoza wananchi wa Tanzania.
Mpaka leo bunge limemaliza vikao vyake, ofisi katibu wa bunge haijapokea barua yoyote kutoka CDM kupinga kupokea posho, zile porojo za kina Mbowe na Lissu, kumbe ilikuwa usanii mtupu Magamba bana

Mbona mmekosa hoja za kujadili , wasanii ni serikali iliyoko madarakani ya ccm, fedha hawana bajeti kwa asilimia kubwa inategemea wahisani wanaendekeza kulilia posho, wewe hapo unafdikiri serikali ikishindwa kutekeleza ilani yake watalaumiwa chameda au magamba

Ninavyoelewa hoja ya Chadema ya posho kufutwa ilipingwa na wabunge walio wengi ikiwa na maana kwamba posho kwa wabunge iko pale pale kihalali na kisheria. Sasa hapa wabunge wa Chadema wanalaumiwa kwa kosa gani. Haya ndiyo mawazo yale yale ya kuwataka Chadema walisusie bunge kwa kupitisha mambo wanayoyapinga au wasusie uchaguzi kwa sababu hawakubaliani na sheria zinazoendesha uchaguzi. Pamoja na yote ukweli ni kuwa ujumbe unafika unakotakiwa na ni swala la muda tu hata hao wanaoafiki hata mambo ya kipuuzi, maamuzi yao taratibu yanaanza kuwasuta.

Hivi ni vichekesho vya Sikuu ya Idd, kwani chadema walikubaliana lini wasichukue hizo Posho? au CCM ina mtumia mtu kuchanganya wenzake?
Hata ukiangalia ofisi ya bunge imefanya mchezo wa kisiasa kutoa taarifa hii. Ilitaka Chadema waonekane kuwa wanafiki wakati wabunge wengi wa CCM wanapinga kuondolewa kwa posho za wabunge. That should be the issue na wala si unafiki wa Chadema. Sasa suala limegeuka kuwa Chadema badala ya kujiuliza ni kwa nini CCM inashikilia wapewe posho na kwamba hizo posho hazitoshi, ziongezwe.

Umechanganyikiwa kama serikali yako ambayo haijagutuka kutoka kwenye usingizi wa kudhani kila aliye informed au analytical basi ama ni mbunge, au yuko kwenya taasisi za serikali anatoa siri za ofisi.

Habari ya taarifa ya bunge kuhusu posho kama ilivyoripotiwa na MWANANCHI ni wazi kwamba hata gazeti lenyewe lilipuuza kwani ni ki-sentensi kimoja kati ya half page ya gazeti hilo.

Tatizo lako ni la ufahamu kwamba jinsi ilivyoandikwa MWANANCHI wanakubali na wameiweka katika hali a tetesi, lakini kwa uelewa wako mdogo hukutumia humu neno tetesi na ukajimwaga mzimamzima ukidhani wote tumepitia shule za kata au zile za Kana ka nsungu umwelu.

Hiyo ni tafsiri yako na inaonesha usivyoelewa maana ya taarifa.Hata neno moja laweza kuwa taarifa hizo ni para mbili zinazojieleza.Tatizo lako unaitikadi mgando.mwandishi kasema taarifa kutoka ofisi ya bunge na si tetesi kama unavyotaka kupotosha.na taarifa imekamelika ukitaka kuikosoa tumia taarifa nyingine.pole sanaa nahisi hata hizo za kata haukupita coz hiyo ni kiswahili darasa la tatu.

Mbona mmekosa hoja za kujadili , wasanii ni serikali iliyoko madarakani ya ccm, fedha hawana bajeti kwa asilimia kubwa inategemea wahisani wanaendekeza kulilia posho, wewe hapo unafdikiri serikali ikishindwa kutekeleza ilani yake watalaumiwa chameda au magamba
Chameda ni chama kipya hiki?

CDM ni wasanii sana hawana dhamira ya dhati ya kuwaongoza wananchi wa Tanzania.

Mpaka leo bunge limemaliza vikao vyake, ofisi katibu wa bunge haijapokea barua yoyote kutoka CDM kupinga kupokea posho, zile porojo za kina Mbowe na Lissu, kumbe ilikuwa usanii mtupu Magamba bana

Kweli leo umepata wafuasi wengi wenye upeo mdogo wa kufikiria why chadena and not cuf,ccm,nccr,tlp? Hii habari niyakuandaliwa kwani ofisi ya bunge toka mwenzi wa nne walikuwa wanaandaa hii taharifa kuleta vyombo vya habari ila kwa uwezo wako mdogo wa kufikiria umeshindwa kutofautisha nini maana ya daftari ya mahudhurio na posho.
Go back to school.

Wanasiasa kigeugeu...chadema kigeugeu...,naye mbowe kigeuge..tundu lusu kigeugeu...mnyika kigeugeu....lema kigeugeu....wenjekigeugeu...chadema..unapomwamini mwanasiasa mwishowe anakugeukia.

Kwa heshima kubwa napenda kueleza ukweli.
Mtoa mada analeta mada kimashairi.
Kaanza na boni mwaitege.
Kaja na mwanamzi wa kenya.

Jaman fomu za kusaini mahudhurio ndo izo izo za posho.
Zingekuwa zipo tofauti hapo sawa.
Hata zito alikua hasain kwa mafungu,yan alikuwa anacheza mchezo wa chuo ukigoma cku 2 kusaini,cku ya3 anasain ili kuepuka adhabu.

Ndesa hela yake inaendaga direct jimbon kwake.
Masta mangi kaudanganya umma.

Kuna mamwili hapa.
1. Umetumwa ili Kumpa Zito Political score hapa ( kitu amabcho sikiamin saaana kwa Zitto kufanya hivyo
2. Unataka kuleta zile Missunderstanding kati ya Zitto na Chadema ( Utakuwa ni Bgewe flan amabaye ukisikia CHADEMA tu Mavi yanagonga Chupi).

Hitimisho.
Utawapata wale wote wanaofikiri kwa kutumia Masaburi kama wewe
Huo ndo mwisho wako wa kufikiri?we ni wale wa zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama wa namna hiyo hawako ccm hata cdm na kwingineko,.jibu hoja:unapinga posho kisha unaichukua,just use at least a standard one common sense utaona aina gan ya siasa tuliyonayo tanzania.

hoa wana kutu ya ccm vichwani , wakiambiwa lamba miguu ya mafisadi wanaweza wakalamba , maana hawana wanachokijua zaidi ya kukubali kila kinachoongelewa na magamba

"Katika ilani ya uchaguzi ya chadema ya mwaka 2010,chadema kilikataa posho.Kikawaelekeza wabunge wake wazipinge bungeni.Hatuwezi kuungana na wenzetu wanoziunga mkono".Alisema Marando.

Hata hivyo taarifa kutoka ofisi za bunge hadi jana zionasema ni Zito Kabwe pekee ndiye mbunge wa chadema ambayea aliacha kusaini posho huku wengine wote wakitia kibindoni. source Mwananchi.-29/08/2011 page 4

UTAWATAMBUA KWA MATENDOOOO..MATENDOO

Naomba uweke nakala ya ofisi ya bunge inayoyasema haya uliyoyaandka.ka haitafka hapa tutaiondoa maana inakuwa ni udaku.

Back
Top Bottom