Barua: Zitto akataa posho za vikao

Barua: Zitto akataa posho za vikao

Taarifa ya mwisho toka kwa mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani T.Lissu ni kuwa Chadema wameomba kuandaliwe form mbili moja ya mahudhurio nyingine ya posho ili wao wawewanasain mahudhurio peke yake.MPAKA SASA HIVI HAKUNA UPDATES,KAMA OFFICE YA BUNGE IMEFANYA HIVYO,kwa maana hiyo kujadiri swala la chadema na posho ni umbeya!

Suala la posho, pinda alihitimisha kuwa watafanya utaratibu, kwani tatizo lipo kwy daftari la mahudhulio kwani ukisign na posho lazima wakuingizie, so walichokubaliana ni kwamba watafanya utaratibu wa kutenganisha daftari la mahudhurio na la posho. Hapo ndipo unaweza kuwahukumu.

asante kwa maelezo yako mazuri..

watanzania wengi bado wanapotosha swala hili ama kwa kuto kujua ama kwa makusudi issue siyo chadema kutokuchukua hizo posho chadema wanataka zifutwe kwa wafanyakazi wote wa umma bila kuwaacha wabunge..hatahivyo sasa hivi tuzungumzie matatizo yanayolikumba taifa giza, wanyama waliouzwa na kikwete warudishe nchi, hiyo aridhi mlio wauzia wa marekani kwa miaka 99 hiyo biashara hatuitaki, tunataka mafisad wa EPA wapelekwe mahakamani na siyo kujivua magamba kinafiki hapa..yapo mengi

Bunge ndo kikao hiki kinaelekea mwisho,

Wakati linaanza iliibuka issue ya kupinga posho na watu wakajitwalia sifa za kutosha.

Kwa nini CDM mmeendelea kulamba posho taratiiiiiiiiiiiiiiiibu kinyume na msimamo wenu?

Hii si ni kuwahadaa waTZ?

Na mh. Mbowe inasemekana lile shangingi hakurudisha kama alivotamba bungeni.

Tuwaeleweje sasa?

waelewe unavyotaka kuwaelewa,wakulaumiwa ni magamba na makinda wao,hoja ililetwa wakaitema kwa maslah yao.Cha kuwashauri cdm ni kuileta hoja hiyo kwa uma uamue.

Kaimu katibu Mkuu wa Bunge, John Joel, amesema mpaka sasa ofisi yake, haijapata barua yoyote kutoka CDM ya kuzikataa posho kama walivyohaidi hapo mwanzo

watanzania wengi bado wanapotosha swala hili ama kwa kuto kujua ama kwa makusudi issue siyo chadema kutokuchukua hizo posho chadema wanataka zifutwe kwa wafanyakazi wote wa umma bila kuwaacha wabunge..hatahivyo sasa hivi tuzungumzie matatizo yanayolikumba taifa giza, wanyama waliouzwa na kikwete warudishe nchi, hiyo aridhi mlio wauzia wa marekani kwa miaka 99 hiyo biashara hatuitaki, tunataka mafisad wa EPA wapelekwe mahakamani na siyo kujivua magamba kinafiki hapa..yapo mengi
Ebu acha kupotosha wewe hivi wewe na Mbowe nani mwenye CDM akisema kitu tukikubali? ugomvi wao viongozi wa CDM ni nini kama sio posho za bungeni!
Punguza porojo

"Katika ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2010, CHADEMA kilikataa posho. Kikawaelekeza wabunge wake wazipinge bungeni. Hatuwezi kuungana na wenzetu wanAoziunga mkono". Alisema Marando.

Hata hivyo taarifa kutoka ofisi za bunge hadi jana zinasema ni Zitto Kabwe pekee ndiye mbunge wa CHADEMA ambaye aliacha kusaini posho huku wengine wote wakitia kibindoni.

source Mwananchi.-29/08/2011 page 4

UTAWATAMBUA KWA MATENDOOOO..MATENDOO

"katika ilani ya uchaguzi ya chadema ya mwaka 2010,chadema kilikataa posho.kikawaelekeza wabunge wake wazipinge bungeni.hatuwezi kuungana na wenzetu wanoziunga mkono".alisema marando.

Hata hivyo taarifa kutoka ofisi za bunge hadi jana zionasema ni zito kabwe pekee ndiye mbunge wa chadema ambayea aliacha kusaini posho huku wengine wote wakitia kibindoni. Source mwananchi.-29/08/2011 page 4

utawatambua kwa matendoooo..matendoo
ni wanafiki chadema hawawezi kuziacha fedha hizo

kweli hawa chadema ni wanafiki huwa wanakazana kuongea bungeni ooooh sisi hatutaki posho! baadaye wana saini wanatia kibindoni, pesa pesa pesa weeeeeeeeeh ilimsaliti YESU.

"Katika ilani ya uchaguzi ya chadema ya mwaka 2010,chadema kilikataa posho.Kikawaelekeza wabunge wake wazipinge bungeni.Hatuwezi kuungana na wenzetu wanoziunga mkono".Alisema Marando.

Hata hivyo taarifa kutoka ofisi za bunge hadi jana zionasema ni Zito Kabwe pekee ndiye mbunge wa chadema ambayea aliacha kusaini posho huku wengine wote wakitia kibindoni. source Mwananchi.-29/08/2011 page 4

UTAWATAMBUA KWA MATENDOOOO..MATENDOO

Niliwahi kusema ndani ya Chadema kuna watu wawili ndio nawaona wanamageuzi kwasababu ya misimamo yao na kutokuwa wanafiki. The rest of them hata kwa bure hawapati kura yangu. Watu wawili hao ni Zitto Kabwe na Dr Slaa kwani ni wanamageuzi na wazalendo halisi wengineo ni wafanyabiashara na bunch of opportunist. Mifano halisi ndio hii wakati watu tunapigika wengine wanajidai kupinga machoni na kupambana na mafisadi lakini mioyoni yenyewe ni mafisadi.

"Katika ilani ya uchaguzi ya chadema ya mwaka 2010,chadema kilikataa posho.Kikawaelekeza wabunge wake wazipinge bungeni.Hatuwezi kuungana na wenzetu wanoziunga mkono".Alisema Marando.

Hata hivyo taarifa kutoka ofisi za bunge hadi jana zionasema ni Zito Kabwe pekee ndiye mbunge wa chadema ambayea aliacha kusaini posho huku wengine wote wakitia kibindoni. source Mwananchi.-29/08/2011 page 4

UTAWATAMBUA KWA MATENDOOOO..MATENDOO

Hizi akili za mende munazipata wapi? Au ndo kufikiria kimasaburi? Katika dunia hii, watu wanaongozwa na POWER, LOVE (SEX) na MONEY katika kufanya maamuzi. Tafakari, chukua hatua. Kama hajachukua pesa, basi anahitaji Power ndo malipo yake.

Unafiki huu kwa wanasiasa utaisha lin?. Mbowe mbwembwe za kurudisha shanging kumbe roho inamuuma.Bora angechukua shanging atuachie posho. Mnafiki hana tofauti na mchawi. Bora shibuda alijitangaza mapema. Kumbe ndio maana wanashndwa kumfukuza Shibuda. Unafiki mkubwa.

For some reason I just think Zitto is not serious or sincere with this and he is just trying to score some political popularity points.

mbona mimi hii habari hainishangazi kabisa??????????/

ni mimi tu ninaewaelewa hawa watu au???????/

Wanasiasa kigeugeu...chadema kigeugeu...,naye mbowe kigeuge..tundu lusu kigeugeu...mnyika kigeugeu....lema kigeugeu....wenjekigeugeu...chadema..unapomwamini mwanasiasa mwishowe anakugeukia.

Wenyewe wameshatoka mjengoni wakija hapa utayapata majibu yao, nie nilikuwa napiata tu.

• Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom