Barua: Zitto akataa posho za vikao

Barua: Zitto akataa posho za vikao

asante Zitto kwa kuthamini michango yetu na kutujibu,misimamo mingine ya cdm inahitaji lugha nyepesi ili kila mtu aelewe.nafikiri moja ya sehemu walikojaa ma pro cdm ni humu hivyo fafanuzi ni muhimu ili wakawe mabalozi.
 
Mheshimiwa Zitto tunakushukuru kwa ufafanuzi mzuri
Mwenye kuelewa kama anataka atakuwa amekuelewa
Hata hivyo tume-miss contributions zako hapa JF
Tunapenda mwe mnatoa fafanuzi kama hizi
 
Mheshimiwa Zitto tunakushukuru kwa ufafanuzi mzuri<br />
Mwenye kuelewa kama anataka atakuwa amekuelewa<br />
Hata hivyo tume-miss contributions zako hapa JF<br />
Tunapenda mwe mnatoa fafanuzi kama hizi
<br />
<br />
I am a founder of JF so I am always here hata kama siandiki. Nasoma kila kitu humu. Kuna jambo la kujifunza maana wakati mwingine JF ni kioo kwetu tulio na ofisi za umma kujitazama na kujikosoa.
Wakati mwingine it is disappointing pale JF inapoongozwa na habari zisizo za kweli na wakati mwingine uongo wa dhahiri. Hii ni changamoto kwa social media na hasa kwa Mods.
Kwa kuwa rumour mongering imekuwa ni kama utamaduni Tanzania, vyombo kama JF vinapaswa kuwa ni forums za ama kuthibitisha kuwa si rumour ni kweli with evidance or its a trash. JF ikiwa chanzo cha kuspread uwongo inashusha heshima yake.
Hata hivyo JF ni forum inayosomwa na kutegemewa na wengi kama eneo la kutoa mawazo huru na wakati mwingine chanzo cha habari.
Nawapongeza Mods kwa jitihada kubwa sana.
 
Zitto,
Hili la kugawa VITI MAALUM kwa dada, binti, wake, swahiba zenu limekaaje?
 
WildCard
Jambo hili sio mada hapa. Pili, chadema ilifuata taratibu zote kwa mujibu wa kanuni za chama kupata wabunge wa viti maalumu. Tuhuma zako sio za kweli hata kidogo.
 
mwananchi ndio wanafiki kwa sababu wanachopinga chadema au hoja yao sio posho ya wabunge tu ..ni posho zote kitaifa kila mahali...kwa mfno posho za vikao vya ukimwi wilayani kila mkuu wa idara anahudhuria kuanzia mganga mkuu .ocd .mkuu wa wilaya ..mkurugenzi ,afisa ardhi baada ya kikao hakuna impact yeyote. wakati wanalipwa mshara na kutumia magari ya serikali hata kama ni mita mia mbili kutoka ofisini kwake mpaka kwenye kikao.
 
Napenda nifafanue masuala kadhaa hapa.
Moja, sisi kama Kambi ya Upinzani inayoundwa na CHADEMA tulikwishaamua kwamba posho za vikao sio stahili sahihi kwa Mbunge. Mnadhimu Mkuu wa Kambi alikwishaandika kwa Spika wa Bunge kutaka kutenganisha fomu za mahudhurio na fomu za posho. Mbunge wenje pia katika moja ya michango yake alisema Bunge litengenishe fomu hizi mbili.
Kuhusiana na mimi kama an indivual MP, nilipewa kazi na chama kama Waziri kivuli Fedha na tangazo la posho alilitoa Naibu wangu ndugu christina Lissu. Mie nikalitolea ufafanuzi kwa vyombo vya habari. Wabunge wa CCM wakaanza kunishambulia na kusema ni unafiki kwamba ninatangaza posho zifutwe ilhali nazichukua. Nikamwandikia Spika barua kuwa posho zangu ziende kwenye charity org jimboni kwangu. Hili nalo likaonekana kama ni unafiki pia. Nikaamua kuzikataa kabisa. Hivyo toka tarehe 8 Juni mimi sipokei posho ya vikao. Njia ninayotumia ni kutosaini mahudhurio Bungeni ili wasipate sababu ya kunilipa.
Sasa kuna mchangiaji hapa kasema usiposaini ndani ya siku tatu unaadhibiwa. Kanuni inasema Mbunge asipohudhuria MIKUTANO mitatu ya Bunge anakuwa amejifukuza ubunge. Tutofautishe mikutano na VIKAO. Kikao ni kila siku na mkutano ni session nzima, mfano session iliyopita ilikuwa ni mkutano wa 4 wa Bunge nk.
Sasa, ikitokea sitasaini pia katika mkutano wa 5 na wa 6 wanaweza kuanza mchakato wa kunifukuza Ubunge. Lakini je mchakato huo utategemea karatasi za mahudhurio tu? Kwa mfano, nikiwa Bungeni ninauliza swali au kuchangia hoja, hansard inarekodi kuwa nilikuwepo Bungeni. Karatasi ya mahudhurio inaonyesha sikuwepo Bungeni. Audio na video records zinaonyesha nilikuwepo Bungeni, watanifukuza kwa vigezo vipi?
Katika harakati lazima ni lazima kuchallenge rules ili zibadilike. Nadhani katika hili tutafanikiwa.
Hivyo, wabunge wa chadema sio wanafiki kwani tayari wameandika rasmi kutaka fomu tofauti za kujaza mahudhurio. Pili, Zitto hasaini kama njia ya kutoa changamoto kwa rules. Lakini pia ninaamini kwa dhati kabisa kwamba posho ya kikao (sitting allowance) sio stahili halali (legitimate?)Kwa mbunge anayelipwa mshahara kwa kazi ile ya kukaa na kutunga sheria, kuisimamia serikali na kuwakilisha wananchi.

Nimepitia michango karibu yote, walichokuwa wakifanya wachangiaji wengi ni
kuhukumu kwa assumption bila kujua sheria na kanuni za bunge zinasemaje.
Lakini nadhani baada ya ufafanuzi huu wa Zitto wengi watakuwa wameelewa
isipokuwa wale wachache waliokunywa maji ya bendera ambao kwa kawaida
hata uwaeleze vipi kuhusu CDM hawakuelewi...
 
naombeni mnielekeze namana ya kuanzisha mada, kuweka avata,
 
WildCard
Jambo hili sio mada hapa. Pili, chadema ilifuata taratibu zote kwa mujibu wa kanuni za chama kupata wabunge wa viti maalumu. Tuhuma zako sio za kweli hata kidogo.
Zitto,
Ona mifano hii michache: - Kuna Christina Lissu na Tundu Lissu. Kuna Mzee Ndesa na binti yake; Kuna Rose Kamili na Dr Slaa( hayupo bungeni kwa sasa); Kuna Zitto na Muhonga Ruhwanya;
Najua hii sio mada yenyewe lakini hili linatukwaza baadhi yetu tunaoitakia mema CHADEMA. Mmesababisha baadhi ya majimbo kuonekana yana Wabunge wawili kama Regia na yule wa CCM, Kamili na mama Nagu. Nilikuwepo pale bungeni wiki mbili za mwisho. Niliona mama Nagu walivyotoleana mbofu na Rose Kamili!
 
Napenda nifafanue masuala kadhaa hapa.
Moja, sisi kama Kambi ya Upinzani inayoundwa na CHADEMA tulikwishaamua kwamba posho za vikao sio stahili sahihi kwa Mbunge. Mnadhimu Mkuu wa Kambi alikwishaandika kwa Spika wa Bunge kutaka kutenganisha fomu za mahudhurio na fomu za posho. Mbunge wenje pia katika moja ya michango yake alisema Bunge litengenishe fomu hizi mbili.
Kuhusiana na mimi kama an indivual MP, nilipewa kazi na chama kama Waziri kivuli Fedha na tangazo la posho alilitoa Naibu wangu ndugu christina Lissu. Mie nikalitolea ufafanuzi kwa vyombo vya habari. Wabunge wa CCM wakaanza kunishambulia na kusema ni unafiki kwamba ninatangaza posho zifutwe ilhali nazichukua. Nikamwandikia Spika barua kuwa posho zangu ziende kwenye charity org jimboni kwangu. Hili nalo likaonekana kama ni unafiki pia. Nikaamua kuzikataa kabisa. Hivyo toka tarehe 8 Juni mimi sipokei posho ya vikao. Njia ninayotumia ni kutosaini mahudhurio Bungeni ili wasipate sababu ya kunilipa.
Sasa kuna mchangiaji hapa kasema usiposaini ndani ya siku tatu unaadhibiwa. Kanuni inasema Mbunge asipohudhuria MIKUTANO mitatu ya Bunge anakuwa amejifukuza ubunge. Tutofautishe mikutano na VIKAO. Kikao ni kila siku na mkutano ni session nzima, mfano session iliyopita ilikuwa ni mkutano wa 4 wa Bunge nk.
Sasa, ikitokea sitasaini pia katika mkutano wa 5 na wa 6 wanaweza kuanza mchakato wa kunifukuza Ubunge. Lakini je mchakato huo utategemea karatasi za mahudhurio tu? Kwa mfano, nikiwa Bungeni ninauliza swali au kuchangia hoja, hansard inarekodi kuwa nilikuwepo Bungeni. Karatasi ya mahudhurio inaonyesha sikuwepo Bungeni. Audio na video records zinaonyesha nilikuwepo Bungeni, watanifukuza kwa vigezo vipi?
Katika harakati lazima ni lazima kuchallenge rules ili zibadilike. Nadhani katika hili tutafanikiwa.
Hivyo, wabunge wa chadema sio wanafiki kwani tayari wameandika rasmi kutaka fomu tofauti za kujaza mahudhurio. Pili, Zitto hasaini kama njia ya kutoa changamoto kwa rules. Lakini pia ninaamini kwa dhati kabisa kwamba posho ya kikao (sitting allowance) sio stahili halali (legitimate?)Kwa mbunge anayelipwa mshahara kwa kazi ile ya kukaa na kutunga sheria, kuisimamia serikali na kuwakilisha wananchi.

Tunashukuru kwa ufafanuzi.
Lkn mimi kwa mtazamo wangu naona ungefanya vema kama ungechukua hizo pesa na kuzipeleka mwenyewe kwenye hiyo charity organization yako kuliko kuichia serikali ya kifisadi ambayo tunajua hizo pesa zitaishia kwenye mikono ya watu wachache walafi.

Pili, ningependa kuwashauri wabunge wenzio ambao wameingiziwa hizo fedha kwa lazima wafanye kifuatacho ili kudhihirisha msimamo wao na wa CDM kwa ujumla kuhusu swala la posho;

Sababu wanaamini kwamba hizo pesa si stahiki halali kwa wabunge na wameingiziwa kwa lazima, kwa mantiki hiyo hawajazitumia bado zipo kwenye account zao. Nashauri, muanzishe charity organization ya chama na wabunge wote ambao wana msimsmo huo kuhusu posho. Pelekeni pesa huko zikasaidie wananchi maskini na muendelee na msimamo huo mpaka kanuni za bunge zitakaporekebishwa. Vinginevyo msimamo wa CDM kuhusu posho utakuwa ni mtaji kwa CCM.
 
<br />
<br />
I am a founder of JF so I am always here hata kama siandiki. Nasoma kila kitu humu. Kuna jambo la kujifunza maana wakati mwingine JF ni kioo kwetu tulio na ofisi za umma kujitazama na kujikosoa.
Wakati mwingine it is disappointing pale JF inapoongozwa na habari zisizo za kweli na wakati mwingine uongo wa dhahiri. Hii ni changamoto kwa social media na hasa kwa Mods.
Kwa kuwa rumour mongering imekuwa ni kama utamaduni Tanzania, vyombo kama JF vinapaswa kuwa ni forums za ama kuthibitisha kuwa si rumour ni kweli with evidance or its a trash. JF ikiwa chanzo cha kuspread uwongo inashusha heshima yake.
Hata hivyo JF ni forum inayosomwa na kutegemewa na wengi kama eneo la kutoa mawazo huru na wakati mwingine chanzo cha habari.
Nawapongeza Mods kwa jitihada kubwa sana.

Kuna watu hawapendi kusikia kile wasichokipenda, hata ukiwaeleza vipi
bado watataka kuleta malumbano. Endelea na mapambano...
 
Zitto,
Ona mifano hii michache: - Kuna Christina Lissu na Tundu Lissu. Kuna Mzee Ndesa na binti yake; Kuna Rose Kamili na Dr Slaa( hayupo bungeni kwa sasa); Kuna Zitto na Muhonga Ruhwanya;
Najua hii sio mada yenyewe lakini hili linatukwaza baadhi yetu tunaoitakia mema CHADEMA. Mmesababisha baadhi ya majimbo kuonekana yana Wabunge wawili kama Regia na yule wa CCM, Kamili na mama Nagu. Nilikuwepo pale bungeni wiki mbili za mwisho. Niliona mama Nagu walivyotoleana mbofu na Rose Kamili!

Undugu katika uongozi ndani ya Chadema hasa kwa hawa wachache uliowaorodhesha
ni kichekesho, hebu angalia kwanza ndani ya CCM na serikali yake uone madudu...
 
CHADEMA wanapaswa kuwa tofauti kidogo na CCM. Au nao ni walewale? Naiombea kwa Mungu CHADEMA irekebishe kila ovu na bovu la CCM.
 
Napenda nifafanue masuala kadhaa hapa.
Moja, sisi kama Kambi ya Upinzani inayoundwa na CHADEMA tulikwishaamua kwamba posho za vikao sio stahili sahihi kwa Mbunge. Mnadhimu Mkuu wa Kambi alikwishaandika kwa Spika wa Bunge kutaka kutenganisha fomu za mahudhurio na fomu za posho. Mbunge wenje pia katika moja ya michango yake alisema Bunge litengenishe fomu hizi mbili.
Kuhusiana na mimi kama an indivual MP, nilipewa kazi na chama kama Waziri kivuli Fedha na tangazo la posho alilitoa Naibu wangu ndugu christina Lissu. Mie nikalitolea ufafanuzi kwa vyombo vya habari. Wabunge wa CCM wakaanza kunishambulia na kusema ni unafiki kwamba ninatangaza posho zifutwe ilhali nazichukua. Nikamwandikia Spika barua kuwa posho zangu ziende kwenye charity org jimboni kwangu. Hili nalo likaonekana kama ni unafiki pia. Nikaamua kuzikataa kabisa. Hivyo toka tarehe 8 Juni mimi sipokei posho ya vikao. Njia ninayotumia ni kutosaini mahudhurio Bungeni ili wasipate sababu ya kunilipa.

Sasa kuna mchangiaji hapa kasema usiposaini ndani ya siku tatu unaadhibiwa. Kanuni inasema Mbunge asipohudhuria MIKUTANO mitatu ya Bunge anakuwa amejifukuza ubunge. Tutofautishe mikutano na VIKAO. Kikao ni kila siku na mkutano ni session nzima, mfano session iliyopita ilikuwa ni mkutano wa 4 wa Bunge nk.

Sasa, ikitokea sitasaini pia katika mkutano wa 5 na wa 6 wanaweza kuanza mchakato wa kunifukuza Ubunge. Lakini je mchakato huo utategemea karatasi za mahudhurio tu? Kwa mfano, nikiwa Bungeni ninauliza swali au kuchangia hoja, hansard inarekodi kuwa nilikuwepo Bungeni. Karatasi ya mahudhurio inaonyesha sikuwepo Bungeni. Audio na video records zinaonyesha nilikuwepo Bungeni, watanifukuza kwa vigezo vipi?

Katika harakati lazima ni lazima kuchallenge rules ili zibadilike. Nadhani katika hili tutafanikiwa.

Hivyo, wabunge wa chadema sio wanafiki kwani tayari wameandika rasmi kutaka fomu tofauti za kujaza mahudhurio. Pili, Zitto hasaini kama njia ya kutoa changamoto kwa rules. Lakini pia ninaamini kwa dhati kabisa kwamba posho ya kikao (sitting allowance) sio stahili halali (legitimate?)Kwa mbunge anayelipwa mshahara kwa kazi ile ya kukaa na kutunga sheria, kuisimamia serikali na kuwakilisha wananchi.

Kwanza nakupongeza sana kwa kuyatenda uliyoyasema.

Lakini hii haiondoi ukweli kuwa Wabunge wenzako wa CHADEMA wameshindwa kutembea kwenye maneno yao, wameendelea kuchukua posho walizosema kuwa "ni malipo haramu" na wakaenda mbali zaidi kuziita kuwa ni "wizi", siamini kama mtu makini anaweza kuendelea kuchukua malipo ya wizi.

Hii inaonyesha kuwa Wabunge wengine wa CHADEMA hawakuwa serious na hili, waliongea tu ili kupata point kisiasa, wangekuwa wapo serious wangeweza kusimama kwenye maneno yao, na kufanya ulivyofanya, na ata pale mikutano mitatu itakapoisha bila kusaini katarasi ya maudhurio, ingekuwa ni mtihani mkubwa zaidi kwa Bunge kuwachukulia hatua kwa Wabunge woote wa Chadema kuliko Mbunge Mmoja, na kama wangewachukulia hatua, hilo lingekuwa bonge ya turufu ya kisiasa kwa CHADEMA.

Tunachokipata hapa ni kuwa Wabunge wengine wa CHADEMA kama ilivyo kwa Shibuda wanazipenda hizi posho, lakini tofauti yao na Shibuda ni kuwa wao wanaongea wasiyoyaamini "kinafiki" kwa kisingizio cha "karatasi ya mahudhuri"wakati Shibuda yupo wazi.

Narudia tena....

WABUNGE WOOTE WA CHADEMA WANAOENDELEA KUCHUKUA POSHO NI WANAFIKI, ZITTO KAONYESHA NJIA, WALIO NA NIA YA DHATI YA KUANZISHA MCHAKATO WA KUZIFUTA POSHO HIZI WAIGE MFANO WAKE, wahenga walisema Matendo Hukidhi Haja MAridhawa Kuliko Maneno...
 
Zitto uko juu. utatimiza miaka mingapi 2015? Tunakuhitaji uwe raisi wetu ZITTO hiyo 2015.
 
CHADEMA wanapaswa kuwa tofauti kidogo na CCM. Au nao ni walewale? Naiombea kwa Mungu CHADEMA irekebishe kila ovu na bovu la CCM.

Kwa hiyo kama kuna mtu ana sifa zote za uongozi na uadilifu aachwe
eti kisa ana undugu na kiongozi mwingine ndani ya chama? hii siyo haki...
 
CHADEMA wanapaswa kuwa tofauti kidogo na CCM. Au nao ni walewale? Naiombea kwa Mungu CHADEMA irekebishe kila ovu na bovu la CCM.

Nakubaliana sana na ww..wajaribu sana namna ya kubalance uteuzi wao usiwe na picha ya nepotism ili kujitofauitisha na CCM huku wakizangatia zaidi uwezo na uadilifu wa mtu.
 
Back
Top Bottom