The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
<br />Asilimia kubwa ya wanasiasa ni wanafiki wanaoongea yale wasiyoweza kuyafanya na Chadema na Viongozi wake hawawezi kuwa tofauti, kama nisivyoshangazwa na Dr.Slaa kuchukua mshahara wa kiwango alichokuwa akikipinga, sintashangazwa pia na hili ata kidogo, hii ni tabia halisi ya wanasiasa wetu...
<br />
imekuuma eeh!