MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 850
Siasa ni mchezo wa unafiki. Huwezi kuwa mwanasiasa bila kuwa mnafiki au walau kuleta unafiki mara moja moja na hii ni kwa wanasiasa wote wa CCM au Chadema au Tanzania au nchi zingine. Fuatilieni sana na mniambie kama kuna mwanasiasa hata mmoja ambae hajawahi kusema au kufanya kitu contradictory.
Kuna mamwili hapa."Katika ilani ya uchaguzi ya chadema ya mwaka 2010,chadema kilikataa posho.Kikawaelekeza wabunge wake wazipinge bungeni.Hatuwezi kuungana na wenzetu wanoziunga mkono".Alisema Marando.
Hata hivyo taarifa kutoka ofisi za bunge hadi jana zionasema ni Zito Kabwe pekee ndiye mbunge wa chadema ambayea aliacha kusaini posho huku wengine wote wakitia kibindoni. source Mwananchi.-29/08/2011 page 4
UTAWATAMBUA KWA MATENDOOOO..MATENDOO
CDM ni wasanii sana hawana dhamira ya dhati ya kuwaongoza wananchi wa Tanzania.
Mpaka leo bunge limemaliza vikao vyake, ofisi katibu wa bunge haijapokea barua yoyote kutoka CDM kupinga kupokea posho, zile porojo za kina Mbowe na Lissu, kumbe ilikuwa usanii mtupu Magamba bana
Hata ukiangalia ofisi ya bunge imefanya mchezo wa kisiasa kutoa taarifa hii. Ilitaka Chadema waonekane kuwa wanafiki wakati wabunge wengi wa CCM wanapinga kuondolewa kwa posho za wabunge. That should be the issue na wala si unafiki wa Chadema. Sasa suala limegeuka kuwa Chadema badala ya kujiuliza ni kwa nini CCM inashikilia wapewe posho na kwamba hizo posho hazitoshi, ziongezwe.Hivi ni vichekesho vya Sikuu ya Idd, kwani chadema walikubaliana lini wasichukue hizo Posho? au CCM ina mtumia mtu kuchanganya wenzake?
Umechanganyikiwa kama serikali yako ambayo haijagutuka kutoka kwenye usingizi wa kudhani kila aliye informed au analytical basi ama ni mbunge, au yuko kwenya taasisi za serikali anatoa siri za ofisi.
Habari ya taarifa ya bunge kuhusu posho kama ilivyoripotiwa na MWANANCHI ni wazi kwamba hata gazeti lenyewe lilipuuza kwani ni ki-sentensi kimoja kati ya half page ya gazeti hilo.
Tatizo lako ni la ufahamu kwamba jinsi ilivyoandikwa MWANANCHI wanakubali na wameiweka katika hali a tetesi, lakini kwa uelewa wako mdogo hukutumia humu neno tetesi na ukajimwaga mzimamzima ukidhani wote tumepitia shule za kata au zile za Kana ka nsungu umwelu.
Chameda ni chama kipya hiki?Mbona mmekosa hoja za kujadili , wasanii ni serikali iliyoko madarakani ya ccm, fedha hawana bajeti kwa asilimia kubwa inategemea wahisani wanaendekeza kulilia posho, wewe hapo unafdikiri serikali ikishindwa kutekeleza ilani yake watalaumiwa chameda au magamba
Chameda ni chama kipya hiki?

CDM ni wasanii sana hawana dhamira ya dhati ya kuwaongoza wananchi wa Tanzania.

Mpaka leo bunge limemaliza vikao vyake, ofisi katibu wa bunge haijapokea barua yoyote kutoka CDM kupinga kupokea posho, zile porojo za kina Mbowe na Lissu, kumbe ilikuwa usanii mtupu Magamba bana

Wanasiasa kigeugeu...chadema kigeugeu...,naye mbowe kigeuge..tundu lusu kigeugeu...mnyika kigeugeu....lema kigeugeu....wenjekigeugeu...chadema..unapomwamini mwanasiasa mwishowe anakugeukia.
Huo ndo mwisho wako wa kufikiri?we ni wale wa zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama wa namna hiyo hawako ccm hata cdm na kwingineko,.jibu hoja:unapinga posho kisha unaichukua,just use at least a standard one common sense utaona aina gan ya siasa tuliyonayo tanzania.Kuna mamwili hapa.
1. Umetumwa ili Kumpa Zito Political score hapa ( kitu amabcho sikiamin saaana kwa Zitto kufanya hivyo
2. Unataka kuleta zile Missunderstanding kati ya Zitto na Chadema ( Utakuwa ni Bgewe flan amabaye ukisikia CHADEMA tu Mavi yanagonga Chupi).
Hitimisho.
Utawapata wale wote wanaofikiri kwa kutumia Masaburi kama wewe

"Katika ilani ya uchaguzi ya chadema ya mwaka 2010,chadema kilikataa posho.Kikawaelekeza wabunge wake wazipinge bungeni.Hatuwezi kuungana na wenzetu wanoziunga mkono".Alisema Marando.

Hata hivyo taarifa kutoka ofisi za bunge hadi jana zionasema ni Zito Kabwe pekee ndiye mbunge wa chadema ambayea aliacha kusaini posho huku wengine wote wakitia kibindoni. source Mwananchi.-29/08/2011 page 4

UTAWATAMBUA KWA MATENDOOOO..MATENDOO