Barua: Zitto akataa posho za vikao

Barua: Zitto akataa posho za vikao

mwanzo mzuri sana huu....hongera sana mheshimiwa zitto
 
Join Date : 17th May 2011
Posts : 278
Thanks 3
Thanked 19 Times in 16 Posts Rep Power : 21

Umetumwa? Au ndio wale wale wa jamaa yetu, huyu kama sio Chiligati basi ni Nduga
i.

kapotolo acha kujikweza
 
Mimi naomba achukue na apeleke kule Kigoma kwenye maendeleo ya watu au kusaidia watu maskini kabisa
 
Isingewezekana watu wote CHADEMA wasimame mwembeyanga na kutaja list of shame. Hapa siyo kutaja hapa ni msimamo wa Chama. Nilitegemea Zitto kama Naibu Katibu Mkuu na Waziri Kivuli wa Fedha aseme kwa niaba ya Chama na si kwa niaba yake binafsi.

Mkuu, katika lugha yetu ya kiswahili hakuna kitu kama "kwa niaba yake binafsi".

Lakini jambo la msingi nililotaka kusema, mbona huelweki?? mara useme zitto kapeleka pesa kwenye NGO yake hapo hapo unasema hujui hiyo KDI ni ya nani. Mara useme NGO za bongo ni usanii mtu, kwahiyo unataka tuamini kwamba hapa bongo hakuna NGO iliyo serious? hapa dude hebu kuwa mkweli.

Ghafla tena unaanza kuhamisha mada kutoka kwa KDI na kuielekeza kwa chadema, mbona unaruka ruka? hebu jielekeze kwenye hoja ya msingi, zitto kaamua posho yake ielekezwe kwenye shughuli za maendeleo ya wananchi wake wa kigoma, wao ni sehemu ya watanzania wanaohitaji maendeleo, kwani kila kitu anachofanya zito lazima uwe msimamo wa chama?mambo mengine ni yake yeye na wapiga kura wake.
 
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania

Alichokifanya ZITTO kinastahili kuungwa mkono na kila mtanzania, katika maelezo ya zitto yakuwa posho zake zipelekwe kwenye KDI ni sahihi kabisa kwani huwezi mpatia kila mtu pesa mkononi lazima uwatafutie mradi utakao wasaidia.

sipingi mawazo yako sipingi jinsi unavyotaka iwe, ila napinga jinsi zitto alivyofanya peke yake kwani ishu hapa siyo kususia ishu hapa wanaopinga wangelezimisha kanuni zinazotambua posho hizo zifutwe ili kila mbunge awe mfano kwa watumishi wengine kwani wao ndiyo watungasheria na wao wanaweza wakaziengua sheria walizo zitunga, ndugu yangu zitto kaachini fikri kabla ya kutenda na kutaka kuendelea kujitafutia umaarufu badala yake angalia jinsi ya kubadili mfumo mbovu wa kanuni hizo pamoja na wenzako.

mkifikia hatua ya kufikiria kutoa kanuni hizo mtashinda na utashili kupongezwa ila kwasasa mimi sikuungi mkono
 
Kimsingi Mh Zitto hajajitoa kwenye posho hizi kwa kuwa itabidi awe anazisaini yeye pale ofisi ya Bunge halafuanazie llekeza huko anakotaka ziende. Angeziacha zirudi serikalini ili zinufaishe Watanzania wote kwani tangu zamani anauchangia mfuko huu.

Kimsingi kutokea Zitto atoe tamko hili watanzania wote tulimuunga mkono, kutokana na uchanga wake hakutambua kuwa kukataa posho na kuagiza ziende mahali ulipona maslahi napo ni sawa na kuchukua posho hizo. Hiyo hain tofauti na kauli ya Mhe JohnChiligati kuwa juwa wanchukua posho hizo kwa ajili ya kuwasaidia kutatua shida za wananchi. Mimi sina shaka kuwa chini ya mfumo uliojengwa na CCM mbunge anajigeuza TM kwa nia ya kuwapa wananchi rushwa. Ni kwanini yeye ageuke ATM ilihali wajibu wake wa kwanza kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania Ibara ya 63 (2) Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii. Hapa kuna walakini!!!!!

Zitto anatakiwa kufanya jambo moja kukataa posho hizi moja kwa moja akionyesha kuamini katika kile alichotamka na anachotegemea kutusomea katika bajeti kivuli halafu aendelee kutimia wajibu wake kama mbunge wa kuisimamia Serikali ili ikusanye mapato na kuyatuamia vyema ili hatiamye maendelo ya taifa zima yapatikane na sio kuwa kinara wa jimbo moja moja. Suala la kusukusua kwa wabunge wengine wa CDM katika kuzitema au kuendelea kuchukua posho hizi si la Zitto ni juu yao wenyew, lakini naweza kutabiri pasipo shaka yoyute kuwa suala hili litachangia sana katika hukumu ya wananchi 2015.

Katika hili tunatarajia leadership ya Katibu Mkuu Dr Slaa, ikumbukwe ana wajibu "to keep his house in order" sio kutaka nyumba za majirani ziwe in order tu.
 
Kama ni unafiki basi unafiki wake unatufaa sana watanzania, katika hao zaidi ya wabunge 300 tungepata wanafiki 20 kama Zitto bunge letu lingekuwa mbali sana.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Hiyo ni sera ya Chadema ya kupinga posho. Lakini yeye akataka sifa zote za chadema apate yeye. Ubinafsi mtupu.
Yeye kama waziri kivuli wa fedha anatakiwa aonyeshe mfano na ndicho alichokifanya. acha upumbavu usifikiri kwa kutumia makalio. bahati yako leo nimekunywa supu otherwise ningekutukana.
 
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania
holy c_r_p!
 
wewe mwana cdm kabisa tena nakujua, angalia sana upuuzi na unafiki huu utakuumbua ukibisha nakulipua shenzi kabisa/na mwngine viti maalum anatabia hii subirini tu dawa yenu inakuja, nawaengea muda nitawaweka hewani hivi karibinu, jamani wala hawa sio wanamagamba ni wanachadema majuha.
 
Zitto alisema anaamini kuwa watumishi wa Serikali na wabunge, hawastahili kulipwa posho wanapohudhuria vikao rasmi vya uwajibikaji wao wa kawaida.
Zitto alisema kuwa posho hiyo haistahili kulipwa kwake, wabunge wengine wala watumishi wa umma kwa kuwa kuhudhuria vikao ni sehemu ya kazi zao.
"Kwa mujibu wa Sheria ya Utawala wa Bunge (National Assembly Act of 2008) na kwa mujibu wa Masharti ya Kazi za Mbunge niliyokabidhiwa, ninastahili kupata posho za vikao, (sitting allowances) kila ninapohudhuria vikao vya Bunge na Kamati zake,"alisema Zitto na kuongeza:
"Ni imani yangu kuwa posho ya kikao haistahili kulipwa kwa mbunge na mtumishi mwingine yeyote wa Serikali kwani kuhudhuria kikao ni sehemu ya kazi yangu,".

Kupitia barua hiyo, Zitto ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Fedha, alieleza kwamba amekuwa akipendekeza posho za vikao hivyo ifutwe, jambo ambalo pia limo katika mapendekezo ya chama chake (Chadema) katika Bajeti ya 2011/2012.
"Nimekuwa nikipendekeza kuwa posho hii ifutwe. Chama changu cha Chadema pia kimependekeza jambo hili katika mapendekezo yake ya Bajeti 2011/2012," alisema Zitto na kuendelea:

Jamani Wabunge wengine wa CHADEMA vipi? Jitokezeni basi mziteme hizo posho? Mbona mnamtupa mkono Zitto?[/QUOTE]

Sio Bure. Una lako jambo!!!!
 
Mkuu ni kweli hapa kuna tatizo. Kuna tatizo la umaarufu wa mtu mmoja mmoja badala ya umaarufu wa Chama. Kama ni uamuzi wa Chama na unatekelezwa na Zitto tu basi kuna shida. Tatizo ni kwamba humu ndani tunataka kujifanya ni Mbuni hasa linapokuja suala la kujadili matatizo ya CHADEMA. Haiingii akilini kwamba Zitto peke yake ndio atekeleze maamuzi ya Chama tena kwa kujipigia pasi eti pesa ziende KDI.

Wako wapi wabunge wengine wa Chadema? Zitto sasa ndio shujaa wa Chadema kwa kukataa posho wakati akina Joseph Selasini, Joseph Mbilinyi na kadhalika wanazichukua. Tuangalie mambo kwa mioyo iliyopondeka ni kuangalia kwa ukengeufu wa mawazo.

Kwa hili la posho tuangalie muda si muda patawaka mioto kama si moto

Kwanza ni vizuri nikukumbushe kwamba zitto hatafuti umaarufu, umaarufu tayari anao, na ndio maana kila siku anajadiliwa kwenye mitandao hadi kwenye vikao vya gahawa huko mitaani. Kama ni umaarufu aliutafuta enzi zile za UDSM hadi issue ya buzwagi, baada ya hapo kila kona ya nchi hii wanamfahamu zito ni nani! Na zito hashindani na chadema kutafuta umaarufu, ukweli ni kwamba zito na chadema wote ni maarufu na umaarufu wao unazidi kupanda kila kukicha, na ndio maana unaona wanamagamba na serikali yao wako busy na chadema, huwasikii wakiitaja cuf,nccr wala udp na tlp!!
Hizi kauli za kwamba zito, slaa, mbowe na viongozi wengine wa chadema kutafuta umaarufu zinatolewa sana na wanamagamba na serikali yao kama tulivyomsikia hivi karibuni paul chagonja na masawe wa tarime, waliongea sawasawa na anavyoongea nape na mukama, basi bila shaka na wewe u miongoni mwao ndio maana umeng'ang;ania sana hicho kibwagizo mnachokipenda wanamagamba!!

Vile vile nikukumbushe kwamba zito ni mbunge wa kigoma kaskazini, anawajibika kuwatumikia wanakigoma kwa kuwa nao ni sehemu ya watanzania, kwahiyo huwezi kumlaumu kwa kuelekeza posho yake KDI, unachotakiwa kufanya ni kumhimiza mbunge wako naye aanzishe NGO ama trust fund ndani ya jimbo lako ili na yeye hizo posho azielekeze huko ziweze kuwasaidia kutatua changamoto mnazokabiliana nazo.
Ni jambo la kushangaza sana kuona unapinga kwamba wananchi wa kigoma hawastahili maendeleo, huu wivu wa namna hii wanao watu wa ccm ndo maana wameutelekeza mkoa wa kigoma kwa miaka yote tangu nchi hii ipate uhuru.
 
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ameiandikia barua Ofisi ya Bunge kuiomba isimamishe kumlipa posho zake zinazotokana na vikao vya Bunge kuanzia juzi.

Zitto ametoa ombi hilo kwa barua rasmi aliyoiwakilisha kwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah Juni 7 mwaka huu.

Nyota njema imeangaza!
kamahuyo Ndugai alitania kuwa waanze upinzani kuachia posho, haya sasa kaaazi imeanza!
 
wewe mwana cdm kabisa tena nakujua, angalia sana upuuzi na unafiki huu utakuumbua ukibisha nakulipua shenzi kabisa/na mwngine viti maalum anatabia hii subirini tu dawa yenu inakuja, nawaengea muda nitawaweka hewani hivi karibinu, jamani wala hawa sio wanamagamba ni wanachadema majuha.

Hayo ni mawazo yenye utapiamlo, sasa UCHADEMA wake na uhuru wake wa kutoa maoni vinahusiana vipi hapo? hii JF imevamiwa na watoto imekuwa tabu tupu .
 
Kimsingi kutokea Zitto atoe tamko hili watanzania wote tulimuunga mkono, kutokana na uchanga wake hakutambua kuwa kukataa posho na kuagiza ziende mahali ulipona maslahi napo ni sawa na kuchukua posho hizo. Hiyo hain tofauti na kauli ya Mhe JohnChiligati kuwa juwa wanchukua posho hizo kwa ajili ya kuwasaidia kutatua shida za wananchi. Mimi sina shaka kuwa chini ya mfumo uliojengwa na CCM mbunge anajigeuza TM kwa nia ya kuwapa wananchi rushwa. Ni kwanini yeye ageuke ATM ilihali wajibu wake wa kwanza kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania Ibara ya 63 (2) Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii. Hapa kuna walakini!!!!!

Zitto anatakiwa kufanya jambo moja kukataa posho hizi moja kwa moja akionyesha kuamini katika kile alichotamka na anachotegemea kutusomea katika bajeti kivuli halafu aendelee kutimia wajibu wake kama mbunge wa kuisimamia Serikali ili ikusanye mapato na kuyatuamia vyema ili hatiamye maendelo ya taifa zima yapatikane na sio kuwa kinara wa jimbo moja moja. Suala la kusukusua kwa wabunge wengine wa CDM katika kuzitema au kuendelea kuchukua posho hizi si la Zitto ni juu yao wenyew, lakini naweza kutabiri pasipo shaka yoyute kuwa suala hili litachangia sana katika hukumu ya wananchi 2015.

Katika hili tunatarajia leadership ya Katibu Mkuu Dr Slaa, ikumbukwe ana wajibu "to keep his house in order" sio kutaka nyumba za majirani ziwe in order tu.

Hawezi kuzikataa posho moja kwa moja kwa wakati huu kwakuwa serikali itazitumia vibaya kwa mambo yasiyokuwa ya msingi, hivyo ni aheri kuzielekeza huko KDI ambako zitafanya kazi ya kuwahudumia wananchi. Hadi hapo bunge na serikali watakapokubaliana na hoja ya kuachana na kulipana posho kwa majukumu yanayowapatia mshahara wao.

Na kwakuwa tayari kuna mifuko ya maendeleo ya jimbo (CDTF) basi nadhani itafika wakati hizo posho zitasitishwa kabisa na pesa kuelekezwa kwenye shughuli zingine muhimu kwa maendeleo ya wananchi.
 
naomba nieleweke,kususia posho inamsaidia nini???maaana yangu hizo posho ange bypass ziwaendee familia zilizo maskini kabisa kwenye jimbo lake,nafikiri ni usahuri wa maanatatizo lenu mnapenda kukurupuka na kuunga mkono kila jambo hata kama ni upumbavu!
jifunze kuandika weye au we ni mesenja wa magamba.uhu ndo upumbavu siwez kukubaliana na mawazo mfu yako.mtoriii au matope
 
Zomba peleka umbea wako na sifa zako huko huko kwenu magamba. Zito ameiwasilisha barua yake kwa katibu wa bunge ya kujitoa katika posho zake na kupelekwa KDI tangu juni 7,2011 halafu wewe unatuambia umemshauri jana tar 9,juni 2011. Acha ujinga nenda mkapeane masifa ya kipumbavu kwa magamba wenzio.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
jamani hawa wanaoponda sio magamba wa ccm ni wana cdm ninaowafahamu tena wengine ni wabunge kabisa..........nipeni muda nitawapa maina yao. yani huu ni unafiki wa juu sana, subirini muone kama nao wataiga kuondoa poshp zao.
 
Na wewe tuachie kelele kama unawafahamu wataje na uwe na evidence za kutosha usikute na wewe umetumwa na NAPE.
 
Back
Top Bottom