wewe si ni mbunge wa chama la magamba? kwana unatakiwa uwepo bungeni ss ivitena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania
naomba nieleweke,kususia posho inamsaidia nini???maaana yangu hizo posho ange bypass ziwaendee familia zilizo maskini kabisa kwenye jimbo lake,nafikiri ni usahuri wa maana
tatizo lenu mnapenda kukurupuka na kuunga mkono kila jambo hata kama ni upumbavu!

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ameiandikia barua Ofisi ya Bunge kuiomba isimamishe kumlipa posho zake zinazotokana na vikao vya Bunge kuanzia juzi.
Zitto ametoa ombi hilo kwa barua rasmi aliyoiwakilisha kwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah Juni 7 mwaka huu.
Tall order for CDM MPs to follow suit! Hongera Mkuu, ila naona umewatega wenzako wakina Mbowe.....watakuwa wanakulaani chinichini!
Umepiga bao la kisigino! Tuone wafuasi wao watasema nini leo!
Zitto siyo mnafiki, tatizo ni anataka masifa. Anataka akihamia nccr aende apate mtaji. Imekula kwake.
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania
Kimsingi Mh Zitto hajajitoa kwenye posho hizi kwa kuwa itabidi awe anazisaini yeye pale ofisi ya Bunge halafuanazie llekeza huko anakotaka ziende. Angeziacha zirudi serikalini ili zinufaishe Watanzania wote kwani tangu zamani anauchangia mfuko huu.
Hiyo ni sera ya Chadema ya kupinga posho. Lakini yeye akataka sifa zote za chadema apate yeye. Ubinafsi mtupu.
siyoni unafiki wowote hapo,wewe toa ushauri zaidi kama ulivyo fanya ushauri wako mzuri,ila inaoneka ulikuwa na jazba wakati wa kuandika ndo maana umekosea maneno mengine,pungunza jazba ulinde heshima yako,
Hahahaha mtori umekua KIBURUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU Wachaga hawapo kama wewew!!!!!! WAnaku-USE WEWEEEEEnaomba nieleweke,kususia posho inamsaidia nini???maaana yangu hizo posho ange bypass ziwaendee familia zilizo maskini kabisa kwenye jimbo lake,nafikiri ni usahuri wa maana tatizo lenu mnapenda kukurupuka na kuunga mkono kila jambo hata kama ni upumbavu!