jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,362
Jifunze kuandika kwanza, panga sentensi zako vizuri, zingatia alama za kuuliza na alama za mashangao, ni hayo tu. sina la kuchangia hapa thread haijapangiliwa vizuri kunishawishi kuchangia.
Mkuu, unapotuambia huwezi kuchangia kwa sababu ya mpangilio, tunakuwa na wasiwasi na uwezo wa akili yako. Kama vipi changia bana, ukigundua hakuna nukta wewe weka tuone tofauti.
Muulize Zitto fedha za kununulia hammer alifanya biashara gani halali kumfanya posho halali aone ndio mahali pa kuhoji uhalali, japo siziungi mkono hizo posho.
Maamuzi yake amekishirikisha chama au anataka kutenda ili aonekane kama anavyojipembua kwa hammer!!! ha ha ha haa! nitarudi baadae