Barua: Zitto akataa posho za vikao

Sioni mantiki yoyote kwa hili. Posho ni haki yake. Jimbo kwake kuna matatizo kibao ya huduma za wananchi. Angeweza kutangaza kuwa anaelekeza posho hizo kwenye huduma za jamii jimboni kwake. Hivi kumgekuwa na ubaya gani kama angeeleza posho hizo hospitali ya jimbo lake? Asilewe sifa ingawa ana ubora.

Kwani hii KDI ni kwa ajili ya jimbo la nani? hujasoma habari umekurupuka.
 
Tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi, huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa, ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao?

Narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa Watanzania.
 
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ameiandikia barua Ofisi ya Bunge kuiomba isimamishe kumlipa posho zake zinazotokana na vikao vya Bunge kuanzia juzi.

Zitto ametoa ombi hilo kwa barua rasmi aliyoiwakilisha kwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah Juni 7 mwaka huu.

I have always been proud of Zittto!!!!!! Nashauri wabunge wote wa CDM wafanye hivyo. Lakini pia pesa hiyo itumike kufanya kitu cha kuonekana ili iwe changamoto kwa serikali kuwa huu wizi kupitia posho ukiondolewa, tunaweza kuleta badiliko kwenye jamii yetu!
 
Mbunge aliyekataa uwizi wa wazi kabisa, adhalimu, uasi kwa umma, ubepari, na kuelekea ufisadi. Tuone wabunge wengine kama zimo mu kichwa. Maana hii ni aibu, tuone nae, eti mtoto wa mkulima safari hii atasemaje?:focus:
 
Sioni mantiki yoyote kwa hili. Posho ni haki yake. Jimbo kwake kuna matatizo kibao ya huduma za wananchi. Angeweza kutangaza kuwa anaelekeza posho hizo kwenye huduma za jamii jimboni kwake. Hivi kumgekuwa na ubaya gani kama angeeleza posho hizo hospitali ya jimbo lake? Asilewe sifa ingawa ana ubora.

Mbona ameelekeza jimboni kwake? soma post za kwanza hapo juu.
 
Unafiki uko wapi hapo? Nadhani unatoa ushauri kwamba angewapelekea maskini kgma ila hujaonyesha ni kwa jinsi gani huo ni unafiki. Acha hasira mkuu
 
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania

Napita tu ukisharekebisha kwenye red nitarudi tena.
 
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania

Acha ujuha wewe Chiligati!!! umegeuza betri nini!!! ubinafsi umekuzidi....posho ya zitto mwenyewe itasaidia nini kama wengine maelfu wanaweka mfukoni nakutokomea. Hoja ya zitto ni nzuri sana tena mno ila wainafsi ndio wanaipinga.
 
Wewe ndio mnafiki
 
Jifunze kuandika kwanza, panga sentensi zako vizuri, zingatia alama za kuuliza na alama za mashangao, ni hayo tu. sina la kuchangia hapa thread haijapangiliwa vizuri kunishawishi kuchangia.
 
Nadhani umesoma haraka haraka kwa kukurupuka nakuja kuazisha thridi ili tu uonekane unajua,onesha huo unafiki wa mh.zitosio kulalamika tu kama ******.
 
Sioni mantiki yoyote kwa hili. Posho ni haki yake. Jimbo kwake kuna matatizo kibao ya huduma za wananchi. Angeweza kutangaza kuwa anaelekeza posho hizo kwenye huduma za jamii jimboni kwake. Hivi kumgekuwa na ubaya gani kama angeeleza posho hizo hospitali ya jimbo lake? Asilewe sifa ingawa ana ubora.
Wewe una matatizo ya ufahamu,huoni kasema posho hizo ziende Kigoma Devlpment Initiatives (KDI)? Bravo Mh. Zitto, u've shown the way forward.
 
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapihuko jimboni mwako maskini wa kutupwakwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisaili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zaonarudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania
mbona unatumia hasira kuliko hoja, kwani serikali ikitumia posho za wabunge kupeleka maji au huduma za afya kigoma uoni ni jambo jema kuliko kuwapa pesa hizo mkononi kama unavyotaka wewe.
 
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania

Kwani kupeleka kwenye jumuiya ya maindeleo ya kigoma sio kusaidia masikini, akili yako imekaa kigambagamba tu. Uko mtupu mno kifikra. Tumia muda kidogo kufikiri, kutafakari na kuchukau hatua.
 
naomba nieleweke,kususia posho inamsaidia nini???maaana yangu hizo posho ange bypass ziwaendee familia zilizo maskini kabisa kwenye jimbo lake,nafikiri ni usahuri wa maana
tatizo lenu mnapenda kukurupuka na kuunga mkono kila jambo hata kama ni upumbavu!
 
Acha ujuha wewe Chiligati!!! umegeuza betri nini!!! ubinafsi umekuzidi....posho ya zitto mwenyewe itasaidia nini kama wengine maelfu wanaweka mfukoni nakutokomea. Hoja ya zitto ni nzuri sana tena mno ila wainafsi ndio wanaipinga.

wee mzee nilikuwa naheshimu sana comment zako lakini kumbe na wewe ni mkurupakaji
 
naomba nieleweke,kususia posho inamsaidia nini???maaana yangu hizo posho ange bypass ziwaendee familia zilizo maskini kabisa kwenye jimbo lake,nafikiri ni usahuri wa maana
tatizo lenu mnapenda kukurupuka na kuunga mkono kila jambo hata kama ni upumbavu!

Upumbafu unaonekana tu katika kushindwa kufikiria. ukiona watu wengi wanakuuliza atajuaje kwamba huyu ni masikini sana na huyu la. pili kumsaidia masikini sio kumpa pesa za matumizi. ni kumpa sustanable investment. Sasa kupitishia pesa kwenye jumuia za maendeleo ndio utaalamu wenyewe wa uchumi. Mbona watu wengine mna vichwa gamba.
 
sitaki kukubaliana na unafiki wa mtoa mada....... anataka naye aonekane great thinker

hii mada ni ya kinafiki
 
Back
Top Bottom