Barua: Zitto akataa posho za vikao

Allowances zikifutwa na machangudoa wataacha kwenda Dodoma...hahaha
Ohh...the economical effects in every decisions we make!!!
 
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania

Unafiki utakuwa unaufanya wewe, kwani point ya zitto iko poa kabisa, kaizungumza kitaifa na sio kijimbo, kijimbo kila mmoja atajua kivyake jinsi ya kuwasaidia wananchi wake. hapa hili linatakiwa liwe ni letu sote bila kuzingatia ujimbo yaani iwe ni sera ya taifa letu. namaliza kwa kusema mnafiki ni wewe kwa kutokumuelewa zitto, yeye hataki alipwe kwa hiyo wapambanaji wote wanatakiwa wamuunge mkono. na hicho ni kipimo cha kuwajua wapambanaji wetu.
 
Jamani give the Guy some credit...
Ila atupe mchanganuo baada ya mwaka hela yake imetumikaje huko jimboni.
Mantiki ya uamuzi huu ni kuweka kubakisha hela serikalini ili ifanye mambo ya maendeleo. Ila ikibaki tutapata uhakika gani kuwa itatumika vizuri?
 
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania

Mtorii,

Pole sana kwa kukosa patriotism na upendo kwa maskini, Zitto ameonyesha kwa vitendo na kufanya rasmi kitu ambacho viongozi wetu wa siasa hata serikali hawawezi!!! HE HAS SACRIFICED, AND YOU CANT, AND IT IS ALWAYS EASY TO SAY UNAFIKI

PLEASE DEFINE NENO UNAFIKI KWA KAMUSI HALAFU ANGALIA KAMA SIO WEWE UNAYEFIT HAPO NA ZITTO KUTOFIT HAPO KWANI AMEWEKA WAZI MSIMAMO WAKE

NYAMBAFF
 
Mtori umechemka sana leo hata hauwezekani kunyweka umechemka hadi ndizi zimeungua!Sikutegemea mzee ungetoa ushuzi huo unanukaaaaa!!!
 
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania

Mkuu naona unachanganya mambo, huwezi kumwondoa mtu kwenye umaskini kwa kumpa hela, tena ukawape familia maskini, kipindi wakiwa na mbunge ambaye hatakuwa na utaratibu huo maskini wote si watakufa.
 
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania
Unamtusi bule Mh Zito,kwani alikifanya kama kitafuatwa na wabubge wote kunapesa nyingi sana zitapatikana na kama tukiamuwa kuzipeleka hizo pesa ktk sehemu fulani yenye tatizo zinaweza kusaidia kuliko kumpa mtu mmoja mmoja na hazita msaidia chochote

tunataka wabunge kama hao wenye kuonyesha kwa vitendo na usimkatishe tamaa mkuu

Mh Zito pamoja daima Nakuunga mkono,kamwe sitokukatisha tamaa ktkhili

mapambano mbele daima
 
Asante sana Mh. Zitto kwa kuonyesha mfano kama waziri kivuli wa fedha. Acheni kubishana juu ya hilo. Serikali imetamka kufuta kodi kwenye posho hatujasema lolote, sasa mtu kasema yeye posho yake anataka iweje, tayati tumeanza kubishana, mbona hivyo?? Jamani mambo yote makubwa yalianza yakiwa madogo na wala hayakuanza yote kwa wakati mmoja.

Naibu wa Spika alishasema kuwa kama mtu hataki posho aseme, sasa mh. Zito amesema tunamuona mnafiki, Kweli hii ni sawa!!
NAKUPONGEZA MH. ZITTO KWA HILI.
 
Sasa tasaidia familia ngapi masikini ile hali wanakigoma wengi ni masikini?bora zitumike kwenye miradi itakayowanufaisha wote itakuwa ni vizuri zaidi kkuliko hivyo familia moja moja.
kavue Gamba wewe,na aliyekutuma uanzishe hii thread leo hakulipi.
 
kuna jambo linanichanganya hapa,huko kwao kigoma tunajua maendeleo yako nyuma sana,kwa nini aache posho badala ya kuzielekeza kwa familia maskini huko kwao???huo ni unafiki usio na maanawa kutaka kuonekana mzuri machoni pa watanzania
Hapo umenena!
 
Kwa Hili Zitto sio mnafiki, tulio wengi wenye kuelewa tumeelewa ya kwamba sera hii ni ya Chama cha Chadema, lakini hapa kiongozi wetu Zitto amekuwa mstari wa mbele kutekeleza sera ya chama hata kama bunge halitapitisha kama wengi tunavyotarajia kwani magamba wengi ni wabinafsi, Zitto amesema pesa zake za posho zikatwe (na hapa kumbuka posho zinazoongelewa sio ile perdiem yake halali ya kuwa bungeni, kunaposho nyingine za ajabu ajabu) na ziingizwe kwenye mfuko wa hisani ili zichangie maendeleo katika Jimbo lake, na akawashauri na wenzake wa chadema wafanye hivyo hivyo kwa kuwa hiyo ni sera ya chama, sasa hapo unafiki unatokea wapi.

Kwa hili Mh Zitto nakupongeza lazima muwe mfano katika kujenga taifa hili Tajiri linalofanywa maskini na sera mfu za ccm.
 
Mwehu wewe! mpaka usikie Mbowe na Lema wameandika barua ndio utawasifu. Shame on u KIBARAKA.
Tatizo wewe una ufinyu wa mawazo! Fikiria impact ya hili jambo alilolifanya Zitto kwa wabunge wengine wa CDM!
 
Ni vyema ukatambua siku zote dhana ya mapinduzi ya kweli huanzia kwa mtu mmoja na baadae inaspread zaid kwa watu wengine. huwez ukategemea group mindset kila wakati ili ufanikiwe. Kwani wakati Dr.Slaa anataja list of shame wa EPA etc ulitaka Cdm wote nao wawataje wakati huo huo. nasema Cdm differ 4rm magamba.

Isingewezekana watu wote CHADEMA wasimame mwembeyanga na kutaja list of shame. Hapa siyo kutaja hapa ni msimamo wa Chama. Nilitegemea Zitto kama Naibu Katibu Mkuu na Waziri Kivuli wa Fedha aseme kwa niaba ya Chama na si kwa niaba yake binafsi.
 
naomba nieleweke,kususia posho inamsaidia nini???maaana yangu hizo posho ange bypass ziwaendee familia zilizo maskini kabisa kwenye jimbo lake,nafikiri ni usahuri wa maana
tatizo lenu mnapenda kukurupuka na kuunga mkono kila jambo hata kama ni upumbavu!

Sijaelewa ulivyolitumia hilo neno red, sio lazimakutumia kengereza kama huna uhakika na neno manake unakua hueleweki.
 
zitto huyu jamaa anafaa kuwa rais wetu 2015

yaani kitu kidogo tu anafaa kuwa RAIS hapa ishu siyo madaraka, je hili litatekelezwa? na serikali hii ya magamba? au watabana iliwafe pamoja? kwakuwa kanuni rasmi za bunge hazijaamua, la msingi hapa ni zitto na wenzake wanaopinga malipo hayo kusimamia kanuni hizo zibadilishwe kwanza,

hapo ndipo tunapo jenga viongozi imara na si kususia huku wengine wakiendelea kutafuna ni lazima tubadilishe mfumo mzima uliyopo ilikila mtu ajue anaumuhimu gani pasipokuwa na posho. maana wengi huenda kwenye vikao kwaajili ya posho na ndiyo maana unaona wengi wao hawana michango kwenye taifa hili.

HATI MAYE MOD KANIACHIA............ NIPO FREE *SASA........ ILA MOD NAENDELEA KUSEMA ACHAKUTUMIKA
 
anyway ni vigumu kwa sasa JF kujibu hoja kwa hoja zaidi ya KUtukanana kwanza kuwa mtu ni chizi,hajapiga mswaki na kila aina ya kuchambuana,
mimi nadhani mtoa mada alikuwa na hoja sasa cha muhimu tungemwomba haifafanue hoja yake na kisha wana JF waichambue hiyo hoja wala sio kumchambua Mtori
DK Slaa alishasema mishahara ya wabunge ipunguzwe,wabunge wote hakiwemo Zitto hakuna hata mmoja aliyekubali hayo kwa maandishi kwenda bungeni kuwa wakatwe posho na kupunguziwa mishahara,
sasa imekuja hoja ya CCM/Nape kuwa Slaa aliyekuwa anakataa /Anapinga pesa za bungeni (Mishahara) analipwa mamilioni Chadema na ndio wengine wanakataa posho za bungeni,
 
Zitto ni kiongozi hivyo kwa kufanya hivyo ameonyesha njia na wengine wafuate, hapo sijaona unafiki, kama ni unafiki basi wabunge wa CCM ndiyo wanafiki wakubwa kwani wanadai maisha bora kwa kila mtanzania wakati kwenye mabano wanasema maisha bora kwa wabunge.
 
wee mzee nilikuwa naheshimu sana comment zako lakini kumbe na wewe ni mkurupakaji

Unayajua majukumu ya KDI (Kigoma development initiative)? (Tutajie) ili tuone kama hizo pesa hazina msaada kwa maskini wa kigoma then tuje na hitimisho la unafiki wa Zito.
 
Back
Top Bottom