barua ya wazi ya kuomba talaka

barua ya wazi ya kuomba talaka

Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake bali watatumbukia katika shimo,mimi naitisha uchaguzi wa viongozi kama suala likipitishwa na kamati kuu Baba V,kama tunaweza kuwa na viongozi wasioweza kuongoza ama kusimamia mahusiano yao je watawezaje kuongoza mahusiano ya wanachitchat walio katika mahusiano?mimi naomba vigezo viongezwe vya viongozi kimojawapo awe ktk mahusiano kwa muda mrefu bila kulegalega,ni wazo hilo tu Erickb52 Arushaone Ruttashobolwa tedo Chilli
 
Last edited by a moderator:
Toa ushahidi wa maneno yako si maneno matupu kama haya!

Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake bali watatumbukia katika shimo,mimi naitisha uchaguzi wa viongozi kama suala likipitishwa na kamati kuu Baba V,kama tunaweza kuwa na viongozi wasioweza kuongoza ama kusimamia mahusiano yao je watawezaje kuongoza mahusiano ya wanachitchat walio katika mahusiano?mimi naomba vigezo viongezwe vya viongozi kimojawapo awe ktk mahusiano kwa muda mrefu bila kulegalega,ni wazo hilo tu Erickb52 Arushaone Ruttashobolwa tedo Chilli
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kua nimeyapitia malalamiko ya The secretary, na kisha kusubiri maelezo ya Bishanga.
Awali nitangulize kusema upande wa mume haujaonesha kuna malalamiko, zaidi ya Mhe. Bishanga kuonesha kumnasihi ikifuatana bembelezo kwa mke avunje msimamo wake na waendelee na ndoa yao.
Aidha nachukua fursa hii kueleweshana yafuatayo :
The major causes of divorce are -
1. Marital problems
2. Infidelity
3. Domestic abuse
4. Laziness
Kwa shauri husika hapa nitumie reason No 4
LAZINESS
This's a misguided belief that , the marriage will not make happy to the one of spouse!
As if marriage is a separate entity, somethin outside themselves that will survive with little input from a husband & wife.
KAULI YANGU KTK MAAMUZI YA SHAURI HILI :
Sijaona sababu ya msingi ya ndoa husika kuvunjwa. Endapo mlalamikaji hajaridhika na anaona bado hahitaji kuwepo ktk ndoa husika, basi iko kanuni maalumu ya kupita atapatiwa maelekezo.
 
Last edited by a moderator:
:smile:

Nimependa maamuzi haya lait mungeivunja ndoa hii ningemshauri bishanga kukata rufaa na ningejitolea kumtetea.big up mkuu
 
Tuwasubiri wanandoa husika watasemaje kuhusu ruling ya Judgement ,kuvunjika ama kutovunjika kwa ndoa kutategemea maridhiano baina ya wanandoa husika
 
Last edited by a moderator:
Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake bali watatumbukia katika shimo,mimi naitisha uchaguzi wa viongozi kama suala likipitishwa na kamati kuu Baba V,kama tunaweza kuwa na viongozi wasioweza kuongoza ama kusimamia mahusiano yao je watawezaje kuongoza mahusiano ya wanachitchat walio katika mahusiano?mimi naomba vigezo viongezwe vya viongozi kimojawapo awe ktk mahusiano kwa muda mrefu bila kulegalega,ni wazo hilo tu Erickb52 Arushaone Ruttashobolwa tedo Chilli

Inaonyesha una hoja lakini uwasilishwaji wake bado una mapungufu,iweke hoja yako wazi zaidi ili iweze kujadiliwa vyema
 
Last edited by a moderator:
Hata mie nimemtania tu

afu wewe Baba V,
unajifanya kuleta sheria zako za kusimamia ndoa za watu,kumbe unazivunja makusudi ili utuchukue sie wanawake.
Na ole ndoa yangu na Chimbuvu ivunjike,
Wallah nakuhamishia nyeti zako Utosini.
Umezidi bhana,
Narudia tena,Ole uivunje ndoa yangu na sheria zako Butu.
 
Sikushangai Madame B , kawaida mwizi huwa hapiti polisi hata kama hafahamiki anakuwa mwoga, wewe unazichukia sheria kwa sababu unajijua vitabia vyako, lengo sio kuvunja uhusiano wako na Chimbuvu ,lengo ni kuhalalisha uhusiano wenu kwa utaratibu ili kesho usijegonganisha tena magari kama kawaida yako.Wewe unazichukia hizo sheria kwa sababu unajua zitakubana na utashindwa kurukaruka.
Afu hapo kwenye KUWATAKA unaweza ukawasilisha ushahidi pasi na shaka? Hizo nazo kashifa
 
Unataka nikuletee mashahidi ili uanze kuwapigia misele.

Sasa sikia Baba V.
Mimi ndoa yangu ni halali.
Unafikiri kilichonitoa kwa Ruttashobolwa ni nini?
Si uko nae kwenye kamati yako? Muulize.
Halafu mwanamke rijali ni lazima agonganishe magari,nitaaminika vp kama nauweza mchezo.
Halafu mwisho kbs nakuomba uhalalishe fasta uhusiano wangu na Chimbuvu.

Afu naomba uwambie wanaonifuatilia kuwa wasinibane bane kwani Hawakunikuta na Bikra Zote.
Nimemaliza.

Fikisha Salamu kwa walengwa.
 
Last edited by a moderator:
Madame B achana nao hao kuna kontena mpya zinaingia humu zinajiingiza gozigozi zinajigonga shenzi type hakuna haja ya kumilikiwa

Bora shost.
Maana wanaume wa humu wanaringa utafikiri wamepima.
The secretary dai talaka mwaya tuangalie vyombo vipya vilivyopo sokoni.
Mivuto tunayo,shepu usipime, sura ndo kbs kama CleoPatra.
Watupishe sie.
 
Last edited by a moderator:
Bora shost.
Maana wanaume wa humu wanaringa utafikiri wamepima.
The secretary dai talaka mwaya tuangalie vyombo vipya vilivyopo sokoni.
Mivuto tunayo,shepu usipime, sura ndo kbs kama CleoPatra.
Watupishe sie.

hilo ndo neno
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom