barua ya wazi ya kuomba talaka

barua ya wazi ya kuomba talaka

Last edited by a moderator:
upo?? Mzima wewe?? Sikusomi kabisaaa, au ulikuwa jando?

wiki iliyopita nilikuwa tight sana, kesho naweza timba mjini ila niko tight sana, if possible kesho nageuka, nikishindwa ntalala
 
Wewe na secretary ni wake za watu kwa hiyo mnapoa anzisha mahusiano lazima mtambue ni batili! Hasa wewe uhusiano ulio uanzisha ni batili maana mume waka halali ni Ruttashobolwa hao wengine wasubiri kunasa kama kule kwetu Temeke!

Madame B na The secretary ni kama njia ya Msalani,
Hatuoti Nyasi ng'oooo....!!!
Kila siku tuko 'vipara.
 
Last edited by a moderator:
Leo ni jumatatu lakini hadi sasa secretary hajaweza kutoa sababu na vithibitisho vinavyo weza pelekea ombi lake la kudai talaka lika kubaliwa!

Sifanyi maamuzi kwa shinikizo la member yeyote humu bali kwa kufuata taratibu halali zilizowekwa na kukubaliwa na wadau wote, Sitahalalisha uhusiano wako na Chimbuvu eti tu kwa sababu umetaka hivyo bali pale mtakapokuwa mmekamilisha taratibu zote. Angalizo: Keshokutwa Jumatano ndo napokea taarifa rasmi toka kwenye kamati ya SCREENING, SHERIA na ya MAADILI kuhusu habari yenu ndipo nitatoa uamuzi wa Mwisho. kila la heri:A S 11:
 
Last edited by a moderator:
Utaolewaje marambili?
Wewe ni mke wa mtu hivyo huwezi kuolewa wakati ndoa yako haijavunja!

Wewe ni mke wangu!
Na katika kamati yako utambue kuwa nikiachanishwa na Chimbuvu basi ujue unanioa.
Tena hiyohiyo Jumatano.
Msiufanye Uhusiano wangu na mpenzi wangu kinyume na maumbile.
Kama umeumaindi mzigo si useme.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom