barua ya wazi ya kuomba talaka

barua ya wazi ya kuomba talaka

Nimependa maamuzi haya lait mungeivunja ndoa hii ningemshauri bishanga kukata rufaa na ningejitolea kumtetea.big up mkuu

kwa taarifa yako sifati utaratibu nampa makavu laivu ialafu nambwaga
 
Unataka nikuletee mashahidi ili uanze kuwapigia misele.

Sasa sikia Baba V.
Mimi ndoa yangu ni halali.
Unafikiri kilichonitoa kwa Ruttashobolwa ni nini?
Si uko nae kwenye kamati yako? Muulize.
Halafu mwanamke rijali ni lazima agonganishe magari,nitaaminika vp kama nauweza mchezo.
Halafu mwisho kbs nakuomba uhalalishe fasta uhusiano wangu na Chimbuvu.

Afu naomba uwambie wanaonifuatilia kuwa wasinibane bane kwani Hawakunikuta na Bikra Zote.
Nimemaliza.

Fikisha Salamu kwa walengwa.
Sifanyi maamuzi kwa shinikizo la member yeyote humu bali kwa kufuata taratibu halali zilizowekwa na kukubaliwa na wadau wote, Sitahalalisha uhusiano wako na Chimbuvu eti tu kwa sababu umetaka hivyo bali pale mtakapokuwa mmekamilisha taratibu zote. Angalizo: Keshokutwa Jumatano ndo napokea taarifa rasmi toka kwenye kamati ya SCREENING, SHERIA na ya MAADILI kuhusu habari yenu ndipo nitatoa uamuzi wa Mwisho. kila la heri:A S 11:
 
Last edited by a moderator:

Na katika kamati yako utambue kuwa nikiachanishwa na Chimbuvu basi ujue unanioa.
Tena hiyohiyo Jumatano.
Msiufanye Uhusiano wangu na mpenzi wangu kinyume na maumbile.
Kama umeumaindi mzigo si useme.
 
Nyie kamilisheni taratibu kisha muone nani atakaye wabughudhi, bila kufuata sheria sitasita kuuvunjilia mbali uhusiano wenu
 
Nyie kamilisheni taratibu kisha muone nani atakaye wabughudhi, bila kufuata sheria sitasita kuuvunjilia mbali uhusiano wenu

Na nataka nione huo uanaume wako unaoniletea.
Kama maji hujaita mma' mwaka huu.
Msione nina chombo kipya mnanifata.
Kote huko nyuma mmeniharibia,au unanitaka?
Nakuuliza unanitaka?

Baba V,
hapa hatoki mtu.
Unajua ninachompa mpaka ananiganda?
Tuacheni tujilie vitamu tamu tulivyotunukiwa na Sir God.
 
Last edited by a moderator:
Waambie mama Madame B kwani ni jambo lipi hilo tusiloliweza,liseme Baba V?
Mi kwa Madame B nshafika na tushapitishwa kuwa wadhamini wa shindano la miss chit chat,hebu dadavua utahitaji kauli yetu ama tutume mwanasheria?

Ushari wote wa nini mama!??? watoto wa uswahilini mnavyopenda shari dah! uanaume wangu hutauona ila utaona namna ambavyo sheria na taratibu zinasimamiwa. habari ya kukutaka haipo kabisa, kwanza mie nakuogopa
 
Kupitishwa kuwa wadhamini wa miss chit chat ni haki yenu ya msingi mkiwa kama wana chit chat, Hongereni kwa hilo, msikae mkadanganyana kuwa mnaweza kuzivunja sheria eti kwa kisingizio cha kupendana, kamilisheni taratibu kama nilivyokwambieni then muendelee na uhusiano wenu comfortably. wenzenu Arushaone na Mamzalendo wamenambia wanafika hivi karibuni mbele ya kamati ya Mamndenyi na The Boss for screening, Kwani ninyi ni kina nani ndo mfanye mambo kinyume na taratibu eti kisa mnapendana.Msimamo wangu na kamati zote ni kuhakikisha taratibu na kanuni zinafuatwa ipasavyo.Natumai mtayafanyia kazi maelekezo niliyowapa
 
Last edited by a moderator:
Ushari wote wa nini mama!??? watoto wa uswahilini mnavyopenda shari dah! uanaume wangu hutauona ila utaona namna ambavyo sheria na taratibu zinasimamiwa. habari ya kukutaka haipo kabisa, kwanza mie nakuogopa

Nakupasha upashike,
mithili ya kiporo cha matoke.
Tuacheni miaka mia naneee na Chimbuvu wangu.
Nimefika kwake.
'Tiles yapigwa deki 24/7'
Nimemruhusu atoboe tundu zote halali na haramu.
Na kwenye hko kikao chenu hatuji ng'oo.
 
Last edited by a moderator:
Waambie mama Madame B kwani ni jambo lipi hilo tusiloliweza,liseme Baba V?
Mi kwa Madame B nshafika na tushapitishwa kuwa wadhamini wa shindano la miss chit chat,hebu dadavua utahitaji kauli yetu ama tutume mwanasheria?

Dear hebu ongea nae,ngoja nikakuwekee maji yako ya kuoga Hiliki na Asali.
Narudi...
 
Last edited by a moderator:
hehehehheehh! kazi ipo hapo lol!

btw hivi Bishanga hyu anaomba talaka wakati ana mimba yako tena ya mapacha?
sasa namuamini The Boss kwamba kuna donation ya mbegu siku hizi lol!
we mwache kanigeuza ndom anitumie kisha anitupe kurrrrreeeee
 
Last edited by a moderator:
Dear hebu ongea nae,ngoja nikakuwekee maji yako ya kuoga Hiliki na Asali.
Narudi...
poor Ruttashobolwa,hivi huyu mwanamke anasumbuliwa na nini,jini mahaba? Nitume niende ujiji nikakusaidie tumtulize mapepo.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya Bishanga kufilisiwa sasa mkewe amtema. Mashauzi yote ya kihaya yamekata. Ajuta kuchukua mkopo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom