Ni hivi Mhe .
rutta huyu binti
The secretary asituchanganye mistari , anapodai namnukuu
"Sitofata utaratibu na nitampa makavu (akimaanisha makavu kwa
Bishanga)" mwisho nukuu.
Nachosema kwamba asituchezee!
Haiyumkiniki mf. Mtoto uwe unamtambua Baba yako wkt wa amani ukam'regard ni Baba mzuri, ikatokea siku ukampelekea Baba matakwa ama shida ukitaka utatuzi wake, by the way Baba awe amekataa kukupa utatuzi au akutatulie kwa njia tofauti na ulivyotaraji wewe mtoto!.
Hapohapo eti mtoto useme ama simtambui huyu kama ni Baba yangu!
Aidha kivingine umuamuru atatue vile utakavyo wewe! Huyo atakua Baba
Junya!
Kutokutii rules zinazofikiwa ni utovu dhahiri . Kama alikua hatambui commission zilizopo ameletaje shauri ?