barua ya wazi ya kuomba talaka


The secretary

The secretary

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Messages
4,155
Points
1,225
Age
32
The secretary

The secretary

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2012
4,155 1,225
The secretary, p.o.box 1, CHIT CHAT. Mwenyekiti wa mahusiano p.o.box 2, jamiiforum. Ndugu, YAH: OMBI LA TALAKA husika na kichwa tajwa hapo juu,mimi The secretary MziziMkavu naomba kuachana na mume wangu Bishanga Bishaija kwa sababu zisizoweza kuzuilika. natumai ombi langu litafanyiwa nidful. mapendo daima THE SECRETARY
 
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,153
Points
2,000
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,153 2,000
Baba V plz come thiz way!!!
 
Last edited by a moderator:
The secretary

The secretary

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Messages
4,155
Points
1,225
Age
32
The secretary

The secretary

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2012
4,155 1,225
eti bana.....maziwa kila kona mpaka Tanga yanapatikana....ufuge ng'ombe wa nini.....
ndo hapo sasa unabaki na mkia tu ng'ombe malisho kwingine
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,765
Points
2,000
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,765 2,000
Katibu Mukhtasi kinini kimekusibu bibie? Bishanga mimi nawe tunaheshimiana SANA naomba nipe sababu ya shem The secretary kuomba talaka. Funguka bhana halafu usidhani alivyotoka kwao alikosa msosi wala pa kulala, Ohoo!
 
Last edited by a moderator:
The secretary

The secretary

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Messages
4,155
Points
1,225
Age
32
The secretary

The secretary

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2012
4,155 1,225
Katibu Mukhtasi kinini kimekusibu bibie? Bishanga mimi nawe tunaheshimiana SANA naomba nipe sababu ya shem The secretary kuomba talaka. Funguka bhana halafu usidhani alivyotoka kwao alikosa msosi wala pa kulala, Ohoo!
sitaki mume.
 
Last edited by a moderator:
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
48,087
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
48,087 2,000
naona timbwili la Asha Ndegere na Fatuma Ndala Ndefu limeanza...
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,492
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,492 1,250
The secretary, p.o.box 1, CHIT CHAT. Mwenyekiti wa mahusiano p.o.box 2, jamiiforum. Ndugu, YAH: OMBI LA TALAKA husika na kichwa tajwa hapo juu,mimi The secretary MziziMkavu naomba kuachana na mume wangu Bishanga Bishaija kwa sababu zisizoweza kuzuilika. natumai ombi langu litafanyiwa nidful. mapendo daima THE SECRETARY
Nimekusoma The secretary , nakupongeza kwa kufuata taratibu ipasavyo.Nimeipitisha barua yako kama ulivyoomba nimei foward kwenda kwa wanasheria Judgement Ruttashobolwa na bibie Kipipi (ambaye uteuzi wake umeanza rasmi leo) kwa ajili ya kukuandalia mwenendo mzima wa kisheria kuhusiana na suala lako
 
Last edited by a moderator:
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,492
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,492 1,250
kwanza kabisa kamati tunataka kujua hizo sababu ili tuweze kuzijadili

BADILI TABIA wewe kama kiongozi wa kamati ya maadili lifanyie kazi vema ombi la The secretary , mimi nadhani mjadala uwepo endapo Bishanga nae ataleta malalamiko au pingamizi, otherwise mnaweza kuendelea na mchakato
 
Last edited by a moderator:
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,153
Points
2,000
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,153 2,000
Soma PM yangu Pulizi, nimeombapo unifikiriepo kuchukuwa hako kanafasi ka Mzee mwenzangu Bishanga.........
akhu shoga angu The secretary wala usikasikilize haka kazeee.. unakumbuka ya temeke????
 
Last edited by a moderator:
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,542
Points
2,000
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,542 2,000
Baba V naona kazi ndo imeanza....
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,296,575
Members 498,672
Posts 31,252,730
Top