Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
ntakaendea sumbawanga,we subiriUnamuonea bishanga nahsi kuna fungu umepata kwa hako kajamaa ka mtaani kwako
ntakaendea sumbawanga,we subiriUnamuonea bishanga nahsi kuna fungu umepata kwa hako kajamaa ka mtaani kwako
ntakaendea sumbawanga,we subiri
unasemaje?
The secretary, p.o.box 1, CHIT CHAT. Mwenyekiti wa mahusiano p.o.box 2, jamiiforum. Ndugu, YAH: OMBI LA TALAKA husika na kichwa tajwa hapo juu,mimi The secretary MziziMkavu naomba kuachana na mume wangu Bishanga Bishaija kwa sababu zisizoweza kuzuilika. natumai ombi langu litafanyiwa nidful. mapendo daima THE SECRETARY
una akili sana wewe!Namshauri kama anampenda hata ukucha au yani kama kipo anachokipenda kwake hata kama nikidogo asiombe talaka. Anaweza kuruka mkojo akaingia kwenye timba la kinyesi
bora uendelee kuvumilia tu. Lol
Mtarajiwa
ng'weee!!!
achana na mzushi huyo!mkuu Nyani Ngabu kwani hilo nalo swali!?
darling i love you in a serious way!Wife gani?
tena kama ana mimba ndio talaka itakuwa ngumu kabisa!
Hv mimi na wewe tumeachana jumla?
Au sielewi?
Hv mimi na wewe tumeachana jumla?
Au sielewi?