Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,609
Mbona hadi sasa unaongea maneno matupu bila ushahidi?
sio ulevi wa pombe ni ulevi wa vimwana
sio ulevi wa pombe ni ulevi wa vimwana
Bwana Loya (japo ni uchwara),nami naomba kuuliza japo si mimi kwani kuna ka bwanamdogo kameniuliza nikakatandika kofi kwa kunivunjia heshima.Na swali lenyewe halihusiani na mada hii hata kidogo,hako kajamaa kameniuliza hivi ni haki kwa mwanandoa yaani mume/mke kuomba talaka kisa mwenzake anaomba tiGo.Hapa tukumbuke kuwa baadhi ya wadada walishaharibika kiasi cha kushawishi wenzi wao wawajudumie..Ninaomba kama hutajali bwana Ruttashobolwa (a.k.a Loya uchwara) uniorodheshee na vifungu vya sheria katika hili..
kaja mbona hana usemi mi naenda kwa BABA PAROKO
danganyaneni!eti bana.....maziwa kila kona mpaka Tanga yanapatikana....ufuge ng'ombe wa nini.....
tumeyamaliza kaka tuko pouwa,mi ndo naamka na wife kaniandalia thubu.Katibu Mukhtasi kinini kimekusibu bibie? Bishanga mimi nawe tunaheshimiana SANA naomba nipe sababu ya shem The secretary kuomba talaka. Funguka bhana halafu usidhani alivyotoka kwao alikosa msosi wala pa kulala, Ohoo!
Fanya hima muombe asitishe zoezi la kuomba talaka
Swali zuri st.paka mweusi! Kumuingilia mwenza wako kinyume na maumbile ni kosa la jinai! Na hilo linaweza likawa kosa la kudai talaka ni sawa na unyanyasaji kijinsia!
Hivyo basi kwenye hili mwana ndoa ana weza kudai talaka, lakini kuta za nyumba zina mambo mengi kwani kuna wanao toa kwa hiari yao hivyo ni makubaliano, na hili liwe kosa basi malalamiko yatokee bila kusahau uthibitisho!
Na hili Nenda kalisosema kwenye Sexual offences provision act of 1998
N ashukuru kwa maelezo yako bwana Loya na nimepata mwanga japo kidogo,ila hapa nina kaswali kadogo ka nyongeza.Inakuwaje katika sheria hiyo inapotokea mlalamikaji ni mwanaume,namaanisha kuwa wanapokuwa faragha mke ndio anabembeleza apatiwe hiyo kitu na mume hayuko tayari.Nasema hivi sababu kuna jamaa yangu analalamika anasema anatamani kuikimbia nyumba yake kisa mkewe analazimisha mchezo huo,ila anaogopa maana atakapoikimbia nyumba basi itambidi aondoke na begi lake tu na yote waliyochuma pamoja yanabakia kuwa mali ya mke...(refer to international laws please)
kha! gfsonwin na Zinduna mko wapi mje mumsute charminglady,kazidi umbea,eti nshawahi kumtongozamwapi?sa ngapi?kha... mwanaume mwenyewe chapombe... afu mpenda vimwana, hata me ashawahi kuntongoza! mwayego The secretary dai talaka yako!!!!
kha! gfsonwin na Zinduna mko wapi mje mumsute charminglady,kazidi umbea,eti nshawahi kumtongozamwapi?sa ngapi?
kha... mwanaume mwenyewe chapombe... afu mpenda vimwana, hata me ashawahi kuntongoza! mwayego The secretary dai talaka yako!!!!
kha... mwanaume mwenyewe chapombe... afu mpenda vimwana, hata me ashawahi kuntongoza! mwayego The secretary dai talaka yako!!!!
Namshauri kama anampenda hata ukucha au yani kama kipo anachokipenda kwake hata kama nikidogo asiombe talaka. Anaweza kuruka mkojo akaingia kwenye timba la kinyesi
tumeyamaliza kaka tuko pouwa,mi ndo naamka na wife kaniandalia thubu.
Wife gani?