barua ya wazi ya kuomba talaka

Kwanza unatakiwa uthibitishe kuwa ulifikisha matatizo yako kwenye kamati ya masuluhisho ikashindikana ndio uombe talaka!

Kinyume na hapo ombi lako ni batili na ndoa haiwezi kuvunjwa!

Pia ulitakiwa utoe sababu za kudai talaka na ni sababu zilizo shindikana katika usuluhishi!

NB: ndoa haivunjwi kama yai
The secretary, p.o.box 1, CHIT CHAT. Mwenyekiti wa mahusiano p.o.box 2, jamiiforum. Ndugu, YAH: OMBI LA TALAKA husika na kichwa tajwa hapo juu,mimi The secretary MziziMkavu naomba kuachana na mume wangu Bishanga Bishaija kwa sababu zisizoweza kuzuilika. natumai ombi langu litafanyiwa nidful. mapendo daima THE SECRETARY
 
Kwanza unatakiwa uthibitishe kuwa ulifikisha matatizo yako kwenye kamati ya masuluhisho ikashindikana ndio uombe talaka!

Kinyume na hapo ombi lako ni batili na ndoa haiwezi kuvunjwa!

Pia ulitakiwa utoe sababu za kudai talaka na ni sababu zilizo shindikana katika usuluhishi!

NB: ndoa haivunjwi kama yai

Malalamiko nishayatoa siku nyingi Erickb52 alikuwa msuluhishi
 
Kwanza unatakiwa uthibitishe kuwa ulifikisha matatizo yako kwenye kamati ya masuluhisho ikashindikana ndio uombe talaka!

Kinyume na hapo ombi lako ni batili na ndoa haiwezi kuvunjwa!

Pia ulitakiwa utoe sababu za kudai talaka na ni sababu zilizo shindikana katika usuluhishi!

NB: ndoa haivunjwi kama yai

sababu nilimfumania kongosho kamficha hawezi kuja nyie toeni talaka nikajitafutie kilicho kwenye wakati
 
Ikumbukwe kwamba mtu pekee wa kutoa Talaka ni bishanga, kazi yetu ni kuhakikisha taratibu zimefatwa na kutoa maamuzi ya kufuatwa! Hadi sasa tumesikiliza upande mmoja(The Secretary) na ametoa sababu moja tuu ambayo hairidhishi kudai talaka pengine haina vithibitisho!

Tuna subiri kusikiliza upande wa pili(Bishanga) ili tuweze kutoa maamuzi, kabla ya yote tutanya usuluhisho ikishindikana tutatoa maagizo ya kutolewa talaka!

NB:Spouse wanatakiwa kujua talaka si voucher

Nimekusoma The secretary , nakupongeza kwa kufuata taratibu ipasavyo.Nimeipitisha barua yako kama ulivyoomba nimei foward kwenda kwa wanasheria Judgement Ruttashobolwa na bibie Kipipi (ambaye uteuzi wake umeanza rasmi leo) kwa ajili ya kukuandalia mwenendo mzima wa kisheria kuhusiana na suala lako
 
Last edited by a moderator:
Hii ni moja ya sababu ya kudai talaka kama hiki thibitika pasi na shaka!
Hivyo basi lete ushahidi usio na shaka yeyote!

NB:kukosekana kwa ushahidi si ushahidi wa kuto kuwepo kwa ushahidi.
sababu nilimfumania kongosho kamficha hawezi kuja nyie toeni talaka nikajitafutie kilicho kwenye wakati
 
Ikumbukwe kwamba mtu pekee wa kutoa Talaka ni bishanga, kazi yetu ni kuhakikisha taratibu zimefatwa na kutoa maamuzi ya kufuatwa! Hadi sasa tumesikiliza upande mmoja(The Secretary) na ametoa sababu moja tuu ambayo hairidhishi kudai talaka pengine haina vithibitisho!

Tuna subiri kusikiliza upande wa pili(Bishanga) ili tuweze kutoa maamuzi, kabla ya yote tutanya usuluhisho ikishindikana tutatoa maagizo ya kutolewa talaka!

NB:Spouse wanatakiwa kujua talaka si voucher

Nakusoma vizuri lawyer, jambo la msingi ni sisi kuhakikisha kuwa tunawasaidia wahusika kuishi vema aidha pamoja au separately! pamoja mkuu
 
Tuta suluhisha na uhakika hii ndoa haitavunjwa!
Nakusoma vizuri lawyer, jambo la msingi ni sisi kuhakikisha kuwa tunawasaidia wahusika kuishi vema aidha pamoja au separately! pamoja mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hatuna barua inayo onesha haya unayo yasema; je pande mbili zimewai kusilizwa? Japo itakuwa ni kinyume na utaratibu!

Aidha nikiwa righthand wako naungana nawe Mhe. loya ktk hoja ya msingi uliokwisha iwasilisha mezani kua ndoa haitimiliki kufikia kuvunjwa kufuatia maelezo ya upande mmoja. Budi hakuna , pasubirike maelezo ya Bashaija , yatakayotoa dira mwenendo wa shauri uendeje.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom