Ni kosa la jinai kuingilia ndoa ya watu ambao hawajaachana. Usipoteze muda tafuta mwenza mwingine ambaye yuko single umlete kwenye kamati au usubili kwanza maamuzi ya kamati!
Wapi huyu mashoga zake wamemdanganya ngoja atoke waingie
it is not sports (si mchezo)
mkiva haki ya mbuzi kondoo shahidi mi wala sijamdanganya... mi memwambia akipewa talaka ntamuunganisha kwa kahensamu kamoja hapa mtaan tu!!!!
bibie The secretary ungelitoa sababu ya kuachika na huyo mume wako Bishanga aje kutoa hiyo talaka na ulete mashaka na mashaidi wawili waytoe ushahidi wao..............
Mkuu Young Master nimemsikia sana lakini mpaka aje huyo mume wake Bishanga kutoa hiyo Talaka rejea.........
Ndoa ndoano
That also is a word (Hilo nalo neno)Talaka zimeisha kwasasa, tunasubiri zingie awamu ya mwakani. Hii ni kwasababu zimetolewa sana
That also is a word (Hilo nalo neno)
Sasa huoni utamshawishi akatae msamaha kwa mumewe
aaahhh simooooo mie
Msamehee wifi niko chini ya miguu yako, Hana lolote analolifanya NI ulevi tu, akilewa anasahau kurudi nyumbani, analazwa kwenye kochi Huyo.
Naaaam Mh judgement!
Kwa kuwa maana ya ndoa ni muunganiko wa watu wawili walio ridhi kuishi pamoja, hivyo hata taratibu za kuivunja lazima zishirikishe panda mbili!