Barua Ya Wazi Kwa Kikwete ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua Ya Wazi Kwa Kikwete !

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Muke Ya Muzungu, Nov 2, 2010.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mh. Kikwete,
  Wananchi hawakutaki using'ang'anie madaraka wachukue akina riziwani ,mvuta unga miraji, makamba family, lawrence masha, makongoro mahanga, rostam aziz, karamagi, lowassa na mafisadi wengine na bila kumsahau mkeo mkafanye kampeni kule Bagamoyo. iwe nchi ndogo ndani ya tanzania tuachie Tanzania yetu kama ulivyoikuta. hatutaki umwagikaji wa damu

  Umeshaiba mali ya nchi, bagamoyo na chalinze kuna sehemu za starehe mkayafuraie huko. Soma lama za nyakati zinazosema wazi kwamba watanzania hawakutaki, vinginevyo utapeleka nchi pabaya na usultani wako unaomfanya kitambi kilichojaa mavi Ridhiwani naye ajione kama rais. Ungejua wazi kwamba sisi wakurya tunazaliwa wanajeshi kasoro magwanda, hata ulete jeshi lote la wananchi kama hatukutaki ni hatukutaji, kwa hiyo usijidanganye kabisa

  Au unasubiri maandamano hadi ikulu? kama ni hivyo basi watu wtaandamani hadi utoke ikulu. Tuna haki ya msingi ya kuandamana, iweje mtangaze mliposhinda waliposhinda upinzani mnakataa kutangaza matokeo? Tanzania ya sasa siyo ya zamani, wewe unaipeleka hii nchi pabaya, nadhani umenisoma vizuri Mkwere, vinginevyo subiri siku familia yako na ya makamba itakapoiona tanzania kuwa chungu

  Najua unasoma ma blog, kama hauzisomi, najua wabeba begi wako, hasa Fisadi Chipukizi January Yusuf Makamba, anazisoma. Akufikishie huu ujumbe. Habari ndo hiyo "thatha wigure??


  Mtiifu,

  Mwita Waitare Magesa a.k.a Fisadi-Original
  Tarime, Mkoa wa Mara
  Tanzania, East Africa
  Africa Continent

  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  kama kweli hamumtaki Mzee J.Kikwete mbona mme mpaka kura zenu? Mkuu FISADI-ORIGINAL wacha kuropoka ovyo tulia akuongoze huyo huyo uliyempa kura yako asante sana nawapongeza wote waliopiga kura nampongeza Rais J.Kikwete kwa ushindi wake mkuu
   
 3. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Huyu miraji mvuta unga wa kazi gani umo ndani jamani? hana lolote huyu amelosti tu. Mwizi kweli kweli huyu hata baba yake keshaesabu sifuri. hao wa makama ni vibaka kweli. mwamvita haoni mume wa mtu mara mbili
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,710
  Trophy Points: 280
  Hakupewa kura bali ameiba.
   
 5. j

  joka Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilidhani mtu anapotoa maoni yake anayatoa kwa kutumia hekima na busara kumbe kuna watu kama fisadi orignal ameungua fwuzi za kichwani. Mtu mwenye malezi mazuri na ustaarabu hata kama wa kuiga hawezi kuandika matusi dizaini hiyo. Narudia kusema je ili uhesabike umeshinda kiharali lazima uende upinzania bajamani??? Nawapongeza ccm kwa ushindi wa kishindo na kaza kamba bado mnakubalika. Mzee makamba endeleza libeneke la chama cha mapinduzi mbele daima msirudi nyuma.
   
 6. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Umenena. Wananchi wameichoka ccm na jk (small letters).
  Mking'ang'ania kututalawa mwishowenu mbaya.
  Kila kitu kina mwisho. Had you been wise, mungeachia ngazi na uchaguzi uwe huru na wa haki. Kwa ukandamizaji huu, there's a price u'll someday pay. Tusubir
   
 7. J

  Jackob Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi we Joka ulitegemea fisadi original aandike nini. Akili yake inafanana sana na alichoandika, na hapo kajiheshimu. Akifyatuka huyoo, hakamatiki.
   
 8. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Duh!
   
 9. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,424
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Mod, tafadhali chunga staarabu za JF! Hii barua imejaa lugha isiyo ya kiungwana licha ya ujumbe wake kuwa na malengo! Au arekebishe lugha au uifute kabisa, Please for the sake of the JF
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Imenikumbusha yale maneno ya Twanga Pepeta"
  "Mnasema nimekunywa bia, na mie sijanywa, sasa ningelikunywa, ingelikuwaje?"

   
 11. October

  October JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Na wewe acha Kuropoka Ovyo. Angalia alama za nyakati. CCM imepoteza muelekeo wake na Haikubaliki.
  Kilichobakia tu ni kuchakachua kura ili idhaniwe kua anakubalika wakati ukweli uko wazi kua hakubaliki.

  Wakae Nje waangalie nchi inavyoongozwa ili wajifunze.

  Sorry it is a bitter pill which you have to swallow.
   
 12. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wewe ndio huumtaki ila sisi watanzania wenzio tunamtaka,tunampenda na tumempa zote...na atashinda kwa kishindo kama utakufa kufa km utapinga matokeo pinga!na usitupigie kelele!matokeo ya uchaguzi zaidi uyajuavyo.............RUVUMA,MTWARA,SINGIDA,DODOMA,TANGA,PWANI NATABORA NI MIKOA AMBAYO AMESHINDA MAJIMBO YOTE!usione watu hawakujibu ukashangaa wako bize wanaandaa vivalo vya sherehe ya ushindi na uapisho!
   
 13. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ameiba wapi?si mmepeleka wakala kila sehemu sasa wakala wenu walishindwa kusimamia hadi mkaibiwa?kama unaibiwa na unaangalia tu bila kutetea haki yako wewe ***** tu!
  kama unaongea kitu ambacho hauna uhakika nacho unaropoka tu basi wewe mnafiki na mzushi!
   
 14. Ssebo

  Ssebo Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 77
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Nani anaweza kunikumbusha maneno aliyosema Horace Kolimba, juu ya mwelekeo wa ccm?
   
 15. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,725
  Likes Received: 3,143
  Trophy Points: 280
  Magesa amezungumza kila kilicho moyoni sidhani kama amemtukana mtu. Kulilia haki yako ni kosa jamani. Kumwonyeshea kidole mmbaya wako kuna ubaya wajameni?? Amekuwa mkweli na si mnafiki wala mzushi mlitaka aseme nini ambacho kingewafurahisha ninyi mnaoona amewaudhi. CCM hakuna marefu yasiyo na ncha 'tafakari' FURAHA YENU IGEUZWE KUWA KILIO NA SHANGWE NAYO IKAWE MAOMBOLEZO. FANYENI ANASA MKAWE VIPOFU.............msg.sent
   
 16. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0

  Unampongeza mwizi wa kura!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ama kweli akili yako haina akili.
   
 17. ChingaMzalendo

  ChingaMzalendo Senior Member

  #17
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwete na makamba wanaharibu nchi na familia zao
   
 18. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hiyo imenifurahisha sana.
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 417,291
  Trophy Points: 280


  JK ushindi wake ni wa kuiba kura kwa msaada wa NEC aliyoichagua yeye pekee yake....................
   
 20. J

  Jackob Member

  #20
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  japo mm c mthithiem. Bado nastahili kukupa hongera kwa kuleta magaeuzi makubwa ya kisiasa nchini na pia kuwa mwenye uvumilivu, hekma na busara.
  Kwa wakati tulio nao you deserve this massive victory. Hongera sana na Mungu akupe hekma na busara katika kuliongoza taifa hili.
  Amen
   
Loading...