mbona anadai unampapasa tu?
Hebu taratibu na mdomo wako , tafadhali usijenivunjia ndoa yangu bado changa kabisaaaaa!
inawezekana braza
achana naye kenge huyu!!! hajai hata kwenye chupi! akitaka tuyafungulie matusi tutarest in server tu!!!
wewe lima tu. wakati wa mavuno nishtue nitakuja na fuso limejaa matenga!!!