barua ya wazi kwa ben saanane

barua ya wazi kwa ben saanane

Kosa ulilofanya kumshauri aende ikulu na wake za watu! Na kosa kubwa kuliko yote ni kumtaja mke wangu kwenye hiyo list. Kosa kubwa sana!!!

This is the last warning! Mke wangu marejesho ni mjamzito na hahitaji usumbufu wa aina yeyote kwa sasa!!!
Filipo hivi hujui marejesho yuko in touch na Ben Saanane? kwani siri? hata Preta anajua.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kwa kweli vidumu vya siku hizi hhavina nidhamu, yaani kimekiimbia utamu kuja kuanzisha sred?

nakusikiliza tu Kongosho unavyonizalilisha,subiri 6x6 azabu yako,utakimbia na andawea mkononi leo.
 
Last edited by a moderator:
Subiri nimsome kidogo kidogo si unajua mi mgeni humu jukwaani, naweza nikakurupuka nikaramba garasa, mimi nimezoea wapika urojo na mahanjumati ya pwani, maji ya kuoga lazima yaekwe karafuu na binzari. Eti mrembo by nature/mamndenyi wayaweza?.

Nakuangalia ujue, nilishawahi kaa servan siku tatu kule siasani kwa ajili yako. Hapa ili nipitishe ndoa yako lazima utoe rushwa (nime declare interests na sitaki anihoji mtu. Mi ndo mwenyekiti bana)
 
CHAMVIGA hahahhaha mimi na Madame B tumejipanga.Ni tenzi za ummh kwa sana.

labda sielewi!!!hapa kinachandikwa ndio kinachomaanishwa au ni lugha ya picha inatumika!!!cpo cpo sana humu ndani lakini gues ben una respekt zako kama ni ujinga mwachie huyo cjui bishanga aandike utumbo wake hapa sasas hii ndio barua ya wazi hii au utoto tuu!embu acha
 
Last edited by a moderator:
Nakuangalia ujue, nilishawahi kaa servan siku tatu kule siasani kwa ajili yako. Hapa ili nipitishe ndoa yako lazima utoe rushwa (nime declare interests na sitaki anihoji mtu. Mi ndo mwenyekiti bana)

hahahaha mkuu za kule uziache kulekule na huku ni mpango mwingind by the way naweza kukufanya mshenga wakati wa ndoa yangu na atakae climb in love na mimi.
 
Back
Top Bottom