Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
- Thread starter
- #101
aione Ben Saanane
Last edited by a moderator:
aione Ben Saanane
si mmeo ?unamkana kisa Nicas Mtei.... sweetlady acha kutema big gee kwa karanga za kuonjeshwa,nicas tunda la msimu.
Nkudharau kivipi!? mi nakutetea we unasema nakudharau, nakuonea huruma FINCA walivyokufilisi
ngauti Ben Saanane vpi wataka kukutana na waifu Paloma w/endi..? wanitisha ujue..!
Bora umemwambia atarudi tena kwangu tena mara hii atarudi kwa kutambaa
ok sawa
nimekusoma.
Ushadanganywa,umekubali..., kwelr majanga.
Kaka rudi upige hodi uulizie taratibu za humu afu ndo uingie, usijejikuta umeingilia mlango wa kutokea...
You better tell him, afu mzee kama huyo sio wa kumwamini, be careful, wazee dizain ile hachelewi kusema anaomba amrithi mwanae..