Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 1,211
- 230
Unaona Nchi isivyokuwa na uwajibikaji watu wanaoneshana ufahari kwa fedha ya walipa kodi wewe ukiagiza kingora cha polisi mwenzako anaagiza Ndege la kijeshi na MP.........................Kweli mbombo ngafuuuuuu!Masatu!
Mhh wewe mwisho! utakuwa ama kada CCM au ni M-NEC, hii ya Sitta V Kapuya ni mpya kwangu na niko hoi!. Anyway good analysis bro