Barick kazini, hili la kuwawekea watu wa karibu na Rais wasisafiri kwenda Marekani ni kuficha ukweli wa biashara zao Makinikia yatakuwa undervalued

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,900
Baada ya kutiliana mkataba wa Barick vs Serikalikali haya yote yameanza kuibuka hawa watu wamekasirika inabidi mheshimiwa asirudi nyuma.
 
Hapana ni kuzuia 10% ya manunuzi ya ndege waliyopewa Jiwe na watu wake wa karibu walizoziweka kwenye benki za mabeberu.
 
Unajua ushindi wa Tanzania kwenye makinikia ni aibu na fedhea kwa ulimwengu wa magharibi.
Nilisema sehemu hawa mabeberu lazima watafute namna ya kutoa statement nchi nyingine yoyote ya Afrika isijaribu kuiga hiki alichofanya Magufuli.
FaizaFoxy Mzaramo sijui Mkwere msomi alirudia mara kadhaa kukumbusha kisa cha Nyerere na mabeberu walivyokuja kulipa kisasi miaka kadhaa baadae.
 
Kaa kwa kutulia dada, uzi mpya kila sekunde hausadii, sindano moja tu ya beberu unawaweweseka usiku kucha!, je wakiweka ya pili...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww nawe ni mshamba kwani unadhani Kuna lipi la kukufurahisha limetokea? Mbona kawaida sana Mheshimiwa aliwasoma mapema ndio maana alikuwa hasafiri hawawezi wakaweka vikwazo vya kiuchumi maana wamewekeza vyakutosha watakaopata hasara ni wao
You mean muamerica apate hasara ya kiuchumi kwa kuiwekea vikwazo tz?! uuuh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kutiliana mkataba wa Barick vs Serikalikali haya yote yameanza kuibuka hawa watu wamekasirika inabidi mheshimiwa asirudi nyuma.
Watanzania wengi wanajua kwa uhakika Makonda ni mtekaji, mtesaji na muuaji asiyeguswa na mamlaka na hivyo kuonekana labda anatumiwa au anatumwa na mamlaka iliyomteua. Hizi ngonjeara za makinikia Mara ushoga kuhusu huyu muuaji hamtudanganyi maana tulitegemea mamlaka za ndani zifanye hii kazi lakini zimeendelea kubariki matendo uake. Acha wazungu watusidoe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa aliwasoma mapema ndio maana alikuwa hasafiri
Tatizo hajui lugha ya kiingereza kwa hiyo anaona aibu kwenda huko duniani.
Alipoenda Zimbabwe tu akawa ni kichekesho cha mwaka ati yeye ni Cataristi wakati huku nyumbani yeye ni kiongozi wa malaika na hapohapo yeye ni jiwe hahahaaa!!
Ati anatamani malaika wake waishukie mitandao ya jamii
Hatujawahi kupata kiongozi anayelitia aibu taifa kama huyu wa awamu ya Tano.
 
Issue sio Meko kwenda US. Tatizo hapa ni kwamba Tanzania inaenda kuwekewa vikwazo kama Zimbabwe.
Kwanini watanzania tukubali mtu mmoja (Meko) atuharibie maisha yetu. Ni lazima tujinusuru kwa kumwonyesha mlango wa kutokea ifikapo Oktoba.

Hatumhitaji tena kiongozi anayewaua raia anaowatawala. Tumechoshwa na upuuzi wake. Aoooooooooondokeeeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kutiliana mkataba wa Barick vs Serikalikali haya yote yameanza kuibuka hawa watu wamekasirika inabidi mheshimiwa asirudi nyuma.
Kwani zile Trilioni 400 wamelipa? Hata Mkienda Canada na USA ishu za makinikia huwezi kuzifahamu na hautojua kama unaibiwa
 
Ww nawe ni mshamba kwani unadhani Kuna lipi la kukufurahisha limetokea? Mbona kawaida sana Mheshimiwa aliwasoma mapema ndio maana alikuwa hasafiri hawawezi wakaweka vikwazo vya kiuchumi maana wamewekeza vyakutosha watakaopata hasara ni wao
Heeeer!!! Kweli akili za kushikiwa ni shida, yaani watakaopata tabu ni wao tena? Kwani kama yeye hasafiri hao wasaidizi wake si kila siku tu nawaona wanamuwakilisha? Wanapokunyima misaada kama hiyo ya WB, wanaopata hasara ni wao?, wakijitoa kufadhiri ARV, watakaopata hasara ni wao? Jana tu wamekupa msaada wa vifaa vya kijeshi, wakiwapa nchi nyingine, na kukunyima wewe, watakaopata hasara ni wao? Pesa za misaada wanazotoa nazo wakizizuia wanaopata hasara ni wao?!!! Wahindi ndio wanunuzi wakubwa wa korosho, inaweza ikawekwa fitina kwenye korosho, usimuone hata mnunuzi mmoja anayekuja kununua, huyo macho madogo(mchina) kwa USA, hana lolote, kwamba ugombane na mabeberu eti atakusaidia!!
 
Uongo wenu hatimae umefikia mwisho sharubu za Simba huwa hazichezewi Mungu mbariki Tundu Lissu na Zitto Kabwe

Tulieni mshughulikiwe na huu ni mwanzo tu
Lis na Zit historia ya usaliti haitowaacha salama kabisa, wao na vizazi vyao wataishi kwenye black book as long as taifa linaishi.
 
Back
Top Bottom