Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,974
- 10,465
hivi huyu kapuya ndio nani hasa nchi hii..? yaani kabaki....?
haya twende tu ..tutafika
Sio huyo tu. Kuna Mohamed Seif Khatib naye! Binafsi nimeanza kumsikia tangu enzi za Mwinyi, pamoja na mwenzake kikongwe Chenge!
Kilimo sio Msolla?
Mkuu Roya,
Soma vizuri. kilimo ni Mathayo David Mathayo.