Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

"Sasa nataka muhandike habari zenyewe ..." here comes mkwere!

"Ndugu zangu tumekamilisha kazi ya kuunda baraza la mawaziri...

"Hakuna mabadiliko makubwa"!

"Idara ya umwagiliaji tumeirudisha tena KILIMO"!!!!!!
 
JK amejoke na waandishi na sasa anatangazxa.
Idara ya Umwagiliaji, imeondolewa wizara ya maji, imerudishwa Kilimo,
 
Wizara ya maji imerudishwa kwenye wizara ya Kilimo. Tunaendelea kufuatilia...
 
alipitia facebook kwanza kuangalia vibibi

537325667_21c4b12a22.jpg
 
what is the matter with this guy? jocking like that!
 
Anasema amebadilisha idara ya maji.nadhani anataka kuharibu credibility ya prof.mwandosya
 
Back
Top Bottom