Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

tunamsubiria makamu wa rais sasa, naye ameingia ukumbini any time JK anaingia
 
Huyu jamaa nasikia alishawahi kuchelewa mkutano USA kwa some minitues....mkwere haambiliki huyo! Anasikiliza ushauri wa kinajimu

Tunahitaji somo la time management kwenye syllabus zetu kuanzia kindergarten
 
VC Bilali na PM Pinda, tayari wameshatinga ndani ya nyumba wamesimama, JK anaingia anytime.
 
yaani ITV wanarudia rudia kile wanachokisema mara mia saba wa sabiini kwa kuwa kikwete kagoma kutoka! agggggr

utasema atatangaza cha maana basi
 
Kibonde ni mjinga miongoni mwa wajinga hapa Tanzania, tatizo la kuishi kwa kubahatisha ndilo linalomsumbua Kibonde na wezake wengi ndani ya dimba la habari Tanzania, hakika mwisho wake upo njiani.
 
Back
Top Bottom