Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Yani kwa jinsi alivyoanza tuu tayari kashatuambia hili baraza jipya halina upya tofauti na la zamani ni yale yale tu watabadilishana wizara tuu....kushne!! anacheka nini sasa? mnamsikia eehh...........:A S-alert1:
 
"....Idara ya Vijana imepelekwa WIZARA ya Michezo!....." (Nasikia kichefu chefu)

"... Mambo ya Vijana yanahusishwa sana na Michezo....." and Kikwete is laughing:redfaces:

Sijui ana maono gani kwa jambo hilo
 
Wanabodi,

Hatimaye Baraza jipya la Mawaziri ndio lianza kutangazwa sasa live kupitia TBC!
Endelea kufuatilia...

UPDATES:

Wizara ya maji imeunganishwa na Kilimo - Itakuwa Wizara ya Kilimo na umwagiliaji!

Kazi ajira na vijana - kitengo cha vijana kimehamishiwa michezo na utamaduni

Uwezeshaji wa wananchi (Baraza la uwezeshaji) - Ilikuwa wizara ya fedha, imebidi kuipunguzia Hazina mzigo huu na na kuelekea Ofisi ya Waziri Mkuu

WIZARA NA MAWAZIRI WAKE:
Ni nani mawaziri wa hii wizara?
 
majina yatoke wapi wewe mkwere ni kama overgrown schoolboy, anauza chai tu na usishangae akatumia saa nzima kwenye hili zoezi.

Yawezakana haswa ngoja nijaribu kuangalia ni muda gani atatumia
 
naam hayo ndio marekebisho makubwa

yanayofuata ni marekebishp mengine :
 
Hiyo sababu aliyoitoa juu ya kupeleka vijana kwenue michezo na utamaduni....mie amenikwaza. Eti shughuli zet nyingi zinaendana na michezo na utamaduni..tumekaa kimichezo na kiutamaduni zaidi loh
 
There are currently 568 users browsing this thread. (206 members and 362 guests)

Du!!
 
There are currently 574 users browsing this thread. (206 members and 368 guests house people)
 
ameongeza wizara ya mahusiano ya jamii, ofisi ya rais....baraza hili litapaa...ama kweli mkwere si msikivu
 
It is about maji maji maji - ndiyo maneno ya utangulizi

Wizara ya Maji ibakie yenyewe tu!!!! Huduma ya maji ifike mita 400 kutoka arms-reach!

Kaongeza mawaziri wa nchi!!!!! heheheeee nadhani watakua mia moja sasa
 
Back
Top Bottom