Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

It is about maji maji maji - ndiyo maneno ya utangulizi

Wizara ya Maji ibakie yenyewe tu!!!! Huduma ya maji ifike mita 400 kutoka arms-reach!
 
"Sasa nataka muhandike habari zenyewe ..." here comes mkwere!

"Ndugu zangu tumekamilisha kazi ya kuunda baraza la mawaziri...

"Hakuna mabadiliko makubwa"!

"Idara ya umwagiliaji tumeirudisha tena KILIMO"!!!!!!
Baba_Enock, uko fast na precise, naomba uendelee.
 
kweli huyu mkwere ni ZERO.

badala ya kuanza na kauli pana za kisera ananza na idara ya maji!!!!!! waandishi waliokwenda shule wanaonekana kushangaa wameshika mdomo badala ya kuandika
 
Amechanganya vijana na michezo.ameitoa mvijana kwenye ajira na michezo
 
Naanza kukata vichwa hapa

baraza+la+mawaziri+wapya+tanzania+kikwete.JPG
 
sitashangaa hata wizara ya elimu ikichanganywa na afya.ni kawaida yao kuachanisha,kurejesha na tunapoelekea watapindua kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wanabodi,

Hatimaye Baraza jipya la Mawaziri ndio lianza kutangazwa sasa live kupitia TBC!
Endelea kufuatilia...

UPDATES:

Wizara ya maji imeunganishwa na Kilimo - Itakuwa Wizara ya Kilimo na umwagiliaji!

No...Wizara ya maji ipo....,ni wizara ya maji tu...
 
Baraza la uwezeshaji sasa limetolewa Hazina na limepelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu-Mabilioni ya JK sasa yako chini ya Baraza la uwezeshaji
 
"....Idara ya Vijana imepelekwa WIZARA ya Michezo!....." (Nasikia kichefu chefu)

"... Mambo ya Vijana yanahusishwa sana na Michezo....." and Kikwete is laughing:redfaces:
 
na marekebisho mengine uwezeshaji wa wananchi shughuli za uwezeshaji ilikua wizara ya fedha ila sasa limepelekwa ofisi ya waziri mkuu
 
Wizara ya Kazi imehamishiwa wizara ya utamaduni na michezo.
 
Bush alipokuja Tanzania, ametuachia kajisomo kuhusu hizi MIC, leo naziona ziko 2 tuu kama alipokuja Bush, na sio ule utitiri wa Mics.
 
Back
Top Bottom