Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,335
hajitambuiSijui ana maono gani kwa jambo hilo
hajitambuiSijui ana maono gani kwa jambo hilo
ameongeza wizara ya mahusiano ya jamii, ofisi ya rais....baraza hili litapaa...ama kweli mkwere si msikivu
walee wazee wastaafu wa afrika mashariki wanamtoa jasho
Nasikiliza kupitia bongo radio, ahsante sana kwa kutuwezesha... Bofya HAPA kusikiliza live.
"...Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI ataongezwa Naibu Waziri anayeshughulikia Elimu ya Sekondari na Msingi..."